[female vocals] Happy
Birthday
Hamisina,
kaka
yangu
mpendwa β€οΈπ
Umeanguka,
umeumia
na
umepitia
dhiki
nyingi,
lakini
hukuwahi
kukubali
maisha
yakushinde.
Uligoma
kuwa
tegemezi,
ukaamua
kupambana
na
kusimama
kwa
miguu
yako
mwenyewe.
Kila
changamoto
haikukufanya
urudi
nyumaβ
imekufanya
uwe
mwanaume
mwenye
nguvu
zaidi.
Leo
tunakuona
ukiwa
na
kazi
nzuri,
ukijenga
maisha
yako
na
zaidi
ya
yote,
ukibadilisha
hali
ya
familia
yetu.
Tunajivunia
sana
wewe,
kaka
yangu. β€οΈ
Usisahau
pia
kumpenda
na
kumthamini
Raisa,
mwanamke
aliyesimama
na
wewe
katika
nyakati
zote
ngumu.
Alikuvumilia
wakati
ambao
mambo
hayakuwa
rahisi,
hivyo
sasa
mnapoendelea
mbele,
mshikilie,
mheshimu
na
mpende
zaidi. β€οΈ
Mungu
akubariki
wewe,
Raisa
na
binti
yenu.
Na
awabariki
katika
ujio
wa
mtoto
wenu
wa
pili. π¨βπ©βπ§βπΆβ€οΈ
Mimi
ni
dada
yako
mkubwa,
na
ninakupenda
sana. β€οΈ
Nimekuona
ukipitia
mengi,
nimeona
mapambano
yako,
na
leo
ninajivunia
mwanaume
uliye
kuwa.
Usichoke
kupambana,
usirudi
nyuma
na
usikate
tamaa.
Mungu
aliyekuvusha
kwenye
magumu
yaliyopita,
ndiye
atakayekupeleka
kwenye
mafanikio
makubwa
zaidi.
Happy
Birthday
kaka
yangu
Hamisina β€οΈππ₯
Tunajivunia
wewe
sana.
[female vocals] Happy
Birthday
Hamisina,
kaka
yangu
mpendwa β€οΈπ