[female vocals] Moyo
wangu
umechoookaaa...
Nisaidie
Mungu
maana
mimi
nimechoka!×2
[female vocals] Moyo
wangu
umechoookaaa...
Nisaidie
Mungu
maana
mimi
nimechoka!×2
Najitahidi
kadri
ya
uwezo
wangu
ila
leo
Mungu
kweli
nimechookaa!
Nisaidie
maana
mimi
darling
ndio
chanzo
cha
machozi
yangu,
narudia
leo
nimechoka
Mungu
wangu.
Nisaidie
maana
mimi
darling
ndio
chanzo
cha
machozi
yangu,
narudia
leo
nimechoka
Mungu
wangu.
Nimelia,
kusali,
kufunga
ila
leo
baba
nione
maana
nimechoka.×2
Moyo
unauma,
mawazo
yamenisonga
maana
wanaoniliza
niwale
wakaribu
nami×2
Moyo
unauma,
mawazo
yamenisonga
maana
wanaoniliza
niwale
wakaribu
nami×2
Nimekubali
wema
pasipo
kipimo,
ni
upumbavu,
nifunze
kuwa
na
mipaka.×2
Nimekubali
huruma
pasipo
na
kiwango,
ni
ufukara
nifunze
kuwa
na
mipaka
baba.×2
Nimekubali
kuvunjika
moyo
pasipo
mabadiliko,
ni
unyonge
nifunze
kuwa
na
mipaka
baba.×2
Mipaka
kwa
familia
yangu,
mipaka
kwa
ndoa
yangu,
mipaka
kwa
kazi
yangu,
mipaka
kwa
huduma
yangu,
mipaka
kwa
urafiki,
mipaka
kwa
maamuzi
yangu,
eeh
Mungu
wangu
nifundishe
kuwa
na
mipaka.
Sitalaumu,
sitalia,
sitalalamika
maana
Mungu
unaniweka
viwango
vingiineee.×2
Sitalaumu,
sitalia,
sitalalamika
maana
Mungu
unaniweka
viwango
vingiineee.×2
Maana
sio
kila
anayekuja
maishani
mwako
ana
kusudio
a
Mungu
juu
yako,
wengine
ni
vita
vilivyoandaliwa
kukuangamiza
pasipo
ufahamu
wako.×2
Mimi
Darling,
nakushukuru
Mungu
wangu,
maana
umeshanitendea
na
uzao
waangu
Mimi
Darling,
nakushukuru
Mungu
wangu,
maana
umeshaniinua
na
nyumba
yangu.
Hakika
mimi
Darling
pamoja
na
nyumba
yangu,
tutamtumikia
bwana
siku
zote
za
maisha
yetu
kama
vile
Yoshua 25:14
inavyosema.×2
Aminaaaa.