[male
vocals] (
Ezbk
TZ)
Aahaa,
aya
mapenzi
Kumbe
uchizi,
una
mupenda
aliye
pendwa
Mapenzi
sumu,
chunga
yasi
kuuwe
Ezbk
TZ
kwenye
mic,
sikiliza
Unazani
ume
pata
kumbe
ume
patikana
Nilimupenda
kumbe
hakunipenda,
ni
hatari
sana
Nikimuhandikiya
muchana
nanijibu
usiku
Kila
nikituma
meseji,
ananipa
tu
shubiri
Aya
mapenzi
kumbe
ni
uchizi
usimupenda
asiye
kupenda
Mana
kumupenda
asiye
kutaka
anapashwa
kuuwa
Jihadjari
namapenzi
kwasa
babu
ya
naumiza
Ao
siyo
DJ
Sabuni,
tunajua
mziki
unaumiza
Mapenzi
uchizi,
mapenzi
sumu
bwana
Jihadjari
na
mapenzi
ndugu
yangu
kila
siku
Hata
nanyi
wazee
wangu
mana
mapenzi
hayana
umri
Mapenzi
uchizi,
mapenzi
sumu
bwana
Jihadjari
na
mapenzi
ndugu
yangu
kila
siku
Hata
nanyi
wazee
wangu
mana
mapenzi
hayana
umri
Ezai
Bunguse,
mapenzi
ni
sumu
bwana
Kila
mtu
anatafuta,
kumbe
wengine
wanalia
Niite
Ezbk
TZ,
bato
ya
ngengere
Tupo
tu,
muheshimike
wa
namemba
wamu
zakwetu
Ngengere
ao
siyo,
Arkiase
Mumbere
ni
BK
TZ
Nakumbuka
ule
muda,
nilivyokuwa
nakuthamini
Umeniona
mjinga,
kumbe
moyo
umeniangusha
Sasa
naimba
kwa
uchungu,
penzi
limekua
giza
Mapenzi
uchizi,
mapenzi
sumu
bwana
Jihadjari
na
mapenzi
ndugu
yangu
kila
siku
Hata
nanyi
wazee
wangu
mana
mapenzi
hayana
umri
Mapenzi
uchizi,
mapenzi
sumu
bwana
Jihadjari
na
mapenzi
ndugu
yangu
kila
siku
Hata
nanyi
wazee
wangu
mana
mapenzi
hayana
umri
Si
unajua
penzi
ni
safari
ya
giza?
Ukijikwaa,
unadondoka
bila
hata
kuona
Ezbk
TZ,
nakuambia
ukweli
mtupu
Usikubali
moyo
uwe
mateka
ya
mtu
asiye
na
thamani
Ooh,
mapenzi
haya,
yanatutesa
sana
Mapenzi
uchizi,
mapenzi
sumu
bwana
Jihadjari
na
mapenzi
ndugu
yangu
kila
siku
Hata
nanyi
wazee
wangu
mana
mapenzi
hayana
umri
Mapenzi
uchizi,
mapenzi
sumu
bwana
Jihadjari
na
mapenzi
ndugu
yangu
kila
siku
Hata
nanyi
wazee
wangu
mana
mapenzi
hayana
umri
Ezbk
TZ,
jiazari
na
mapenzi
ndugu
yangu
Penzi
sumu,
penzi
uchizi
Ngengere,
mumbere
Tunazidi
kusonga,
maisha
yanaendelea (
Fade
out)