[male vocals] Asante
Mungu
kwa
siku
ya
leo,
kwa,
pamoja
tunasherekea
miaka
nane
ya
ndoa
yetu.
Nimepitia
Mambo
mengi
sana
hapo
kabla
na
kupitia
kipindi
kigumu
bila
kazi
wala
kipato.
Familia
ilisambaratika
na
kikajiona
sina
thamani
kabisa.
Namshukuru
Mungu
aliyenipa
mke
mzuri
Akija
ambaye
alisimama
na
Mimi,
aliamini
IPO
siku
nitakuwa
mtu
mwenye
mafanikio.
Asante
Mungu
kwasababu
hukutaka
Imani
ya
mtu
wako
ipotee
bure
hivyo
ukatenda
kama
alive
amini.
Leo
tunatimiza
miaka
nane
ya
upendo
na
furaha
kwa
pamoja.
Mungu
bado
tunasubiri
ahadi
yako
ya
kutupa
watoto
wataoizunguka
meza
yetu.
Mungu
bado
Tunakuamini
n