[male vocals] Hello
tricia
my
baby,
my
girl
my
princess) (
happiest
birthday
to
you)
Leo
ni
siku
kuu,
siku
ya
furaha
Tunasherehekea
kuzaliwa
kwa
Tricia
Happy
birthday
Tricia,
my
daughter
my
princess
Nakumbuka
siku
zile,
kipindi
bado
tumboni
Mama
alikuwa
hoi,
tukijawa
na
huzuni
Madaktari
walisema,
hali
si
shwari
kabisa
Ila
sisi
tuliamini,
kwa
Mungu
kila
kitu
sasa
Nilikuwa
nakuimbia,
nakuongezea
imani
Ulikuwa
unasikia,
ndani
ya
tumbo
la
mama
ndani
Nilikuomba
uwe
salama,
uwe
mzuri
kupita
wote
Na
kweli
ulipozaliwa,
ilikua
the
most
beautiful
baby
I
have
ever
seen.
Happy
birthday
Tricia,
my
daughter
my
princess
Ulikuja
duniani,
huzuni
ukaiondolea
Tricia
mpenzi,
nuru
ya
macho
yangu
Kukusubiri
hospitali,
ilikuwa
shauku
yangu
Happy
birthday
Tricia,
tunakushangilia
Kukua
kwako
leo,
dunia
inakutazamia
Saa
za
usiku
zikaenda,
nikae
hospitali
Nasubiri
kukuona,
nikupatie
sifa
na
mali
Saa
kumi
za
usiku
tarehe
ni
ishirini
na
moja
mwezi
ulikua
wa
nane ,
sitawahi
sahau,
ukaleta
nuru
ndani
Ukapunguza
uchungu,
ulionao
mzazi
ndani
Ulikuja
mrembo
sana,
hakuna
mtoto
mwingine
nishawahi
kumuona
mrembo
kama
wewe
Ulimaliza
kilio,
ukatufuta
machozi
wewe
Leo
unazidi
kukua,
unazidi
kung'aa
Tricia
jina ,
my
princess
my
angel
nakupenda
sana
mwanangu.
Happy
birthday
Tricia,
binti
yangu
malkia
Ulikuja
duniani,
huzuni
ukaiondolea
Tricia
mpenzi,
nuru
ya
macho
yangu
Kukusubiri
hospitali,
ilikuwa
shauku
yangu
Happy
birthday
Tricia,
tunakushangilia
Kukua
kwako
leo,
the
world
is
happy
because
on
that
night
a
princess
was
born. (
And
to
your
mum
hongera
kwake
kwa
kunipa
such
a
beautiful
baby
girl) (
nerra
asante
mama
tricia)
Tunasherehekea
maisha,
tunasherehekea
wewe
Mungu
azidi
kukulinda,
uwe
na
busara
wewe
Uwe
na
afya
njema,
uwe
na
tabasamu
tele
Tricia
wetu
kipenzi,
maisha
yako
yawe
mazuri
na
yenye
furaha
Kila
mwaka
unaongeza,
hatua
za
mafanikio
Baraka
tele
kwako,
uwe
na
kila
baraka,
upendo,
furaha
amani
na
furaha
Sisi
wazazi
tunaomba,
uwe
na
moyo
wa
shukrani
Endelea
kutupenda,
tukiwa
hapa
duniani
Happy
birthday
Tricia,
my
daughter
my
princess
Happy
birthday
Tricia,
binti
yangu
malkia
Ulikuja
duniani,
huzuni
ukaiondolea
Tricia
mpenzi,
nuru
ya
macho
yangu
Kukusubiri
hospitali,
ilikuwa
shauku
yangu
Happy
birthday
Tricia,
tunakushangilia
Kukua
kwako
leo,
dunia
inakutazamia
Happy
birthday
Tricia!
Binti
wa
dhahabu,
malkia
wa
mioyo
Tunakupenda
sana,
endelea
kung'aa
Tunakupenda
sana,
endelea
kung'aa (
Na
jay
ana
celebrate) (
selim
ana
celebrste) (
We
love
you
so
much
our
birthday
girl)