A song made by Uwezo wetu campany
A song made by Uwezo wetu campany
Imani ya Yesu moyoni mwangu
Ni nguvu, ni silaha imara eeh
Imani ya Yesu moyoni mwangu
Ni nguvu silaha imara eeh
Imani ya Yesu moyoni mwangu
Ni nguvu silaha imara eeh
Ukipungukiwa na imani moyoni
Mwite Yesu iijaze eeh
Ukipungukiwa na imani moyoni
Mwite Yesu iijaze eeh
Nimegundua majaribu yangu sio mateso
Wala mateso sio jaribu langu
Ila wingi wa mateso
Ndio huleta majaribu
Ila wingi wa mateso
Ndio huleta majaribu
Mwamini Yesu wewe, kiwango cha imani kiimarike
Mwamini yeye tu, imani yako iongezeke
Katika giza la usiku, yeye ni mwanga wangu
Katika joto la jua, yeye ni kivuli changu
Mateso yanakuja na majaribu mengi sana
Lakini imani yangu haipaswi kudhoofika kamwe
Yesu ndiye nguvu yangu, ndiye tegemeo langu
Moyo wangu unaimba, roho yangu inashangilia
Nimegundua majaribu yangu sio mateso
Wala mateso sio jaribu langu
Ila wingi wa mateso
Ndio huleta majaribu
Ila wingi wa mateso
Ndio huleta majaribu
Mwamini Yesu wewe, kiwango cha imani kiimarike
Mwamini yeye tu, imani yako iongezeke
Mwamini yeye tu, imani yako iongezeke
Mwamini yeye tu, imani yako iongezeke
Imani ya Yesu moyoni mwangu
Ni nguvu silaha imara eeh