A song made by mborogoma 🦁 khan
A song made by mborogoma 🦁 khan
Shaloom wakaka nawadada katika Kristo,
Ni ndugu yenu Caleb karusi tena
Naona dunia imefika mwisho,kumbuka muumba wako,maana tukifanya zambi kwa kusudi, hatuta ona ufalme wa mungu,
Neno la mungu linasema,kumbuka muumba wako wakati wa uhai wako,sasa dunia inafika mwisho,tufanye angalisho maana Siku ya mwisho kuna hukumu ya moto yenye kutisha,
Dunia inafika mwisho, kumbuka muumba wako,maana ukifanya zambi kwa kusudi hatuta ona ufalme wa mungu,
Iyi maisha ya duniani bila yesu nibure,
Imagine ukifa Léo utaenda n'a nini kule
Utaacha manyumba magari n'a mali,
Halafu ukifa ndani ya yesu,utaishi maisha ya furaha Raha na mani ya milele,
Kitabu ya waebrania sura kumi mustari wa makumi mbili natano unasema
Wala tusiache kukusanyika pamoja, kama ilivyo desturi wa wengine,Bali tuonyane,na kuzidi kufanya hivyo,kwa kadiri muonavyo,
Siku ile kua inakaribia,
Ndugu yenu Caleb karusi napenda neno la mungu
Niko chini ya mwamba, n'a mwamba niyesu aliye juu yangu
Kila Siku namuomba anilinde, katika neno lake Siku zote,
Anilindiye jamaa yangu famille karusi, stola stola familly na wapendwa wangu wote,
Dunia inafika mwisho,
Kumbuka muumba wako,
Kwa maana tukifanya zambi kwa kusudi hatuta ona ufalme wa mungu
Mungu atulinde na atubariki piya Amani yake iwe nasi kwa jina lake yesu kristo
Ameen shaloooom

Pick one photo or multiple for a slideshow (up to 10) — we'll create a video with your track, ready for TikTok, Reels & Stories
Opening gallery…
Select your photo
Cooking your video...
We'll send it straight to you when it's hot 🔥
You can close this page — we'll deliver it directly to you.
Your video is ready!
It's been sent to your WhatsApp. Save it, then post it to your socials below.
Tag @afrobits.ai when you post
Distribute your song to 150+ streaming platforms
and get heard around the world.
Millions of listeners are waiting to hear your sound
Starting from just $2.99/yr · Auto-renews annually · Cancel anytime
Annual subscription. Auto-renews yearly. Cancel anytime — your song stays live until the paid period ends.