Aweh,
Lusoli
Kwa
ajili
ya
malkia
wangu,
Sauti
yako
inaleta
amani,
kama
upepo
mwanana
Kila
nikikutazama,
naona
Esther
wewe
ni
ua
linalostawi
moyoni
mwangu
Sitaki
kuwaza
dunia
bila
tabasamu
lako
We
kwangu
ni
zaidi
ya
pendo
Ni
tumaini
la
moyo
wangu,
kila
dakika
ya
maisha
wewe
ni
daktari
wa
moyo
wangu
Unaponiponya
kwa
busu
na
maneno
matamu
Esther,
utabaki
moyoni
mwangu
milele
Nilalapo
na
niamkapo,
ni
wewe
pekee
Esther,
wewe
ni
daktari
wa
moyo
wangu
Unaponiponya
kwa
busu
na
maneno
matamu
Esther,
utabaki
moyoni
mwangu
Nilalapo
na
niamkapo,
ni
wewe
na
niamkapo,
ni
wewe
pekee
Esther, wewe ni daktari wa moyo wangu
Unaponiponya kwa busu na maneno matamu
Esther,
utabaki
moyoni
mwangu
milele
Nilalapo
na
niamkapo,
ni
wewe
pekee
Nakupenda Esther, nakupenda sana
Zaidi ya maneno, zaidi ya wote
Yebo, wewe ndio nguvu yangu
Ondoa hofu yote, ni wewe na mimi
Ulimwengu ukinigeuka, wewe unabaki pale
Umekuwa tumaini, umekuwa furaha yangu
Utabaki
moyoni
mwangu
daima
dawamu
Nilalapo
na
niamkapo,
ni
wewe
pekee
wangu,
mpenzi
wangu
wa
Ni
wewe
tu,
daima
Asambe,
pendo
letu
ni
la
kweli
Nakupenda
Esther,
nakupenda
sana