[male vocals] Yeah,
sikiliza
mdogoyangu
Maisha
ni
safari
ndefu
sana
Jikite
kwenye
masomo
Ezechiel,
Sarah,
sikilizeni
Tuangalie
mbele,
tusiangalie
nyuma
Yeah,
twende
Ezechiel,
nakwambia
mdogoyangu
Nahitaji
usome,
hiyo
ndiyo
njia
yako
Sarah,
mdogo
wangu,
sikiliza
yako
Sisi
tuna
kutegemea,
usivunje
moyo
wetu
Mimi
najuta
mdogoyangu,
kwa
nini
sikusoma?
Kaka
mukubwa
alipambana
dju
chini
ili
mimi
nisome
mimi
nikaendekeza
muziki
huu
Kilichobaki
sasa
ni
majuto
tu
Mdogoyangu,
usijali
ya
dunia
hii
Mambo
ya
dunia
hayana
maana
yoyote
Soma
kitabu,
ndiyo
nguzo
yetu
ya
baadaye
Soma
mdogoyangu,
elimu
ndiyo
ngao
Soma
mdogoyangu,
usiache
kusoma
Tunakuamini
wewe,
utatutoa
hapa
Soma
mdogoyangu,
ndoto
zako
zitimie
Elimu
ni
mwanga,
gizani
itakuongoza
Soma
mdogoyangu,
usikate
tamaa
Ona
hali
ya
mama,
jinsi
ilivyobadilika
Magonjwa
yamezingira,
mwili
umedhoofika
Wewe
ndiye
utakayemchunga
mbeleni
Na
hali
ya
baba,
imekuwa
mbaya
sana
Hajielewi,
anashindwa
na
ulevi
kila
siku
Sarah
mdogoyangu,
nahitaji
usome
sana
Usijali
wanaume
hawa,
hawana
kitu
cha
maana
Muchunge
mama,
sisi
kakazako
tuna
pambana
Mama
ni
mgonjwa,
hali
yake
ni
mbaya
sana
Soma
mdogoyangu,
sisi
hatuna
elimu
ya
kutosha
Soma
mdogoyangu,
elimu
ndiyo
ngao
Soma
mdogoyangu,
usiache
kusoma
Tunakuamini
wewe,
utatutoa
hapa
Soma
mdogoyangu,
ndoto
zako
zitimie
Elimu
ni
mwanga,
gizani
itakuongoza
Soma
mdogoyangu,
usikate
tamaa
Maisha
haya
yana
changamoto
nyingi
Lakini
elimu
itafungua
milango
yote
Usiruhusu
umasikini
utuzuie
Tunafanya
kazi
ngumu,
unajua
hilo
Tunafanya
yote
haya
kwa
ajili
yenu
Kaza
mwendo,
usije
ukateleza
Kumbuka
maumivu
tunayopitia
sasa
Kumbuka
machozi
ya
mama
yetu
Kila
kitabu
unachofungua
ni
hatua
Hatua
ya
kututoa
katika
huu
ufukara
Soma
kwa
bidii,
usitazame
kando
Sisi
tunakuombea
baraka
kila
siku
Wewe
ni
tumaini
pekee
tulilobaki
nalo
Usituangushe,
elimu
ni
silaha
yako
Soma
mdogoyangu,
elimu
ndiyo
ngao
Soma
mdogoyangu,
usiache
kusoma
Tunakuamini
wewe,
utatutoa
hapa
Soma
mdogoyangu,
ndoto
zako
zitimie
Elimu
ni
mwanga,
gizani
itakuongoza
Soma
mdogoyangu,
usikate
tamaa
Soma
mdogoyangu
Elimu
ndiyo
kila
kitu
Tunakupenda
sana
Ezechiel,
Sarah,
fanyeni
vyema
Tutaona
matunda
mbeleni
Yeah,
tunapambana
Drill,
kwa
ajili
ya
familia
Soma,
soma,
soma
Peace.