Hedwiga
Decoration,
tunang'ara
kama
nyota
Urembo
wa
kike
na
kiume,
tunajua
tunachokifanya
English
gold
original,
haipauki,
unavaa
unachoka
Tunafunga
zawadi
kwa
viwango
vya
hali
ya
juu
sana
Kila
mteja
anapata
kile
anachotamani
moyoni
Hedwiga
Decoration,
ubora
wetu
hauna
mfano
Hedwiga
Decoration,
tunang'ara
kama
nyota
Urembo
wa
kike
na
kiume,
tunajua
tunachokifanya
English
gold
original,
haipauki,
unavaa
unachoka
Hedwiga
Decoration,
sisi
ndiyo
mabingwa
wa
urembo (
Sharp
sharp)
Ni
urembo
wa
kipekee,
njooni
mjionee
Kama
unatafuta
bidhaa,
English
Gold
original
Haipauki
kabisa,
tunakuja
na
style
ya
kifalme
Cheni,
hereni,
na
braslete
za
kumetameta
Saa
original
mkononi,
unajiona
mtoto
wa
mjini
Tunatengeneza
kacha,
kila
aina
unayotaka
Kwa
Hedwiga
Decoration,
kila
kitu
kimetulia
Hedwiga
Decoration,
tunang'ara
kama
nyota
Urembo
wa
kike
na
kiume,
tunajua
tunachokifanya
English
gold
original,
haipauki,
unavaa
unachoka
Hedwiga
Decoration,
sisi
ndiyo
mabingwa
wa
ubungo (
HD!
Aweh!
Sharp
sharp!)
Pete
za
ndoa
na
uchumba,
mambo
ya
maharusi
Vibanio
na
maua,
tunaifanya
siku
yako
iwe
ya
thamani
Frem
za
miwani,
miwani
za
urembo
za
kisasa
Tunafunga
zawadi
kwa
viwango
vya
hali
ya
juu
sana
Kila
mteja
anapata
kile
anachotamani
moyoni
Hedwiga
Decoration,
ubora
wetu
hauna
mfano
Hedwiga
Decoration,
tunang'ara
kama
nyota
Urembo
wa
kike
na
kiume,
tunajua
tunachokifanya
English
gold
original,
haipauki,
unavaa
unachoka
Hedwiga
Decoration,
sisi
ndiyo
mabingwa
wa
urembo
Chupi
za
kike
na
boxer,
singland
na
tite
safi
Sidiria
nzuri,
body
splash
na
perfume
kali
Harufu
ya
kuvutia,
unanukia
kama
malaika
Body
oil,
lotion,
showerjell,
na
deodorant
Rasta
za
aina
zote,
tunakupa
muonekano
wa
kishua (
Ubungo!
Let's
go!)
Hatuachi
kitu,
tunakamilisha
muonekano
wako
Kutoka
kichwani
hadi
miguuni,
sisi
ni
wataalamu
Bei
zetu
rafiki,
huduma
zetu
ni
za
viwango
Njoo
Hedwiga
Decoration,
uweke
order
yako
sasa
Tunakusubiri
mteja
wetu,
uwe
star
wa
siku (
Sho!
Ng'ara)
Hedwiga
Decoration,
tunang'ara
kama
nyota
Urembo
wa
kike
na
kiume,
tunajua
tunachokifanya
English
gold
original,
haipauki,
yaani
inadumu
Hedwiga
Decoration,
sisi
ndiyo
mabingwa
zawadi
Hedwiga
Decoration,
ndiyo
habari
ya
mjini
Urembo
original,
mishumaa
ya
kunukia (
Aweh!)
Tunawaka,
tunang'ara,
Hedwiga
Decoration! (
Sharp
sharp!
Let's
go!
Asambe!)