[female
vocals] (
Hoooh,
hoooh,
ooooh)
Kifo,
kifo,
kifo,
huna
huruma (
Ayy,
ooooh)
Tulikuwa
wote
dada
yetu
Maria
Ila
leo
hatuko
naye
tena,
kifo
eeih
Maria
ameacha
pengo
lake
mukulia
Unamuacha
kaka
Papy
mukulia,
hooooh
Pombo
Katemwe,
safari
yako
ni
nzito
Tunakulilia
dada,
mioyo
inalia
Kifo
kimechukua
nuru
yetu,
oh
Tutakukumbuka
daima,
malaika
wetu
Nadafeza
Katemwe,
Aruni
Katemwe
Na
Celestine
Kalonda,
wazazi
wako
Papy
Katemwe,
Senga
na
Mama
Singa
Mwange
Marafiki
wote
wako
kwenye
huzuni,
yoooooh
Safari
ni
fupi,
maisha
ni
fumbo
Umeondoka
mapema,
dada
munga
Tunakuombea
kwa
Muumba
wetu
Ukae
kwa
amani
ya
milele,
dada
Pombo
Katemwe,
safari
yako
ni
nzito
Tunakulilia
dada,
mioyo
inalia
Kifo
kimechukua
nuru
yetu,
oh
Tutakukumbuka
daima,
malaika
wetu
Pumzika
salama,
Bariki
Papy
Aruni
Waleja,
Mama
Singa
Mwange
Na
Papy
Katemwe
Senga
Rikiki
Tunakupenda,
hatutakusahau
milele (
bolingo!) (
Malamu,
malamu...)