A song made by Kirwa.c 😍🫵🏾⚽
A song made by Kirwa.c 😍🫵🏾⚽
Yeah... mbali sana
Manze, umekaa mbali
Ulikuwa wangu, lakini ulibaki mbali
Every time ningetaka kukaribia, unatoroka kama safari
Nilitry kukushika, lakini wewe ni kama upepo
Sasa nimelearn kuishi peke yangu, sina haja ya kelele
Ulijifanya unavyonipenda, lakini action zilikuwa zero
Nilikuwa natafuta attention, wewe ulikuwa kwa sero
Manze distance yako ilinifunza lesson kubwa
Saa hii niko rada, sina stress, najiskia poa msee
Mbali sana, ulikaa mbali sana
Sasa niko comfortable, sitaki drama
Ulithani nitalia, lakini nimeget amani
Mbali sana, saa hii ni hard kukuhitaji tena, ah!
Ulidhani nitabaki nikingoja kila siku
Lakini juu ya distance yako, moyo wangu ulianza kupoa kitu
Nilijaribu kusongelea, wewe unasimama kando
Sasa nimejipata, na nashangaa nilikuwa natafuta nini kwako
Peace ilikuja ile siku niliwachana na attachment
Sasa ukitaka kurudi, manze it's too late for that commitment
Ulikuwa mkubwa, lakini saa hii niko juu bila wewe
Distance yako ndio ilinisaidia kupata njia yangu, kanairo!
Mbali sana, ulikaa mbali sana
Sasa niko comfortable, sitaki drama
Ulithani nitalia, lakini nimeget amani
Mbali sana, saa hii ni hard kukuhitaji tena, vile!
Mbali sana... yeah
Nimelearn kuishi bila wewe, bro
Amani iko, na noma