[male vocals] Aweh!
Haya
mambo
ya
Mungu!
Mitoto
ya
Mungu,
twende!
Atutegemei
ndumba
sisi
sio
wandumba
Anabariki
Mungu
tukigusa
tu
mavumba
Na
tukikosa
atuwazi
tuna
mtegemea
Muumba
Kurudi
sio
mipango
ila
Mungu
tu
akipenda
Mitoto
ya
Mungu,
tunazidi
kupanda
Bila
chale
tunashuka
na
tunapanda
Mitoto
ya
Mungu,
wao
wanashangaa
Tunabarikiwa
tu,
hatuhami
kwa
Muumba
Mtu
sio
nyau
kinyaunyau
Tukikosa
ni
vipimo
kesho
coca
na
pilau
Wanapamba
kutusha
Mungu
ndo
ajataka
Shaksi
Mswahili
wa
leo
sio
wa
jana
Mitoto
ya
Mungu,
tunazidi
kupanda
Bila
chale
tunashuka
na
tunapanda
Mitoto
ya
Mungu,
wao
wanashangaa
Tunabarikiwa
tu,
hatuhami
kwa
Muumba
Mkubwa
Mungu
sio
fela
Mungu
ajawahi
kuyumba
Tunakunywa
tunalewa
ila
atujawai
kumsahau
alietuumba
Nyumba
za
ibada
kwa
mbali
ila
sadaka
na
zaka
tunamkumbuka
muumba
Mungu
sio
kiongozi
wako
Anaekuumiza
huku
akijifanya
anakupenda
Sisi
ni
wa
Mungu,
tunaendelea
kung'ara
Safari
ndefu
tunasonga
na
imani
imara
Mitoto
ya
Mungu,
tunazidi
kupanda
Bila
chale
tunashuka
na
tunapanda
Mitoto
ya
Mungu,
wao
wanashangaa
Tunabarikiwa
tu,
hatuhami
kwa
Muumba
Sharp
sharp,
tunasonga
mbele
Mitoto
ya
Mungu,
eish!
Muumba
ndo
kila
kitu
Asambe!