A song made by JOHNCY Fashion
A song made by JOHNCY Fashion
Umoja One! Slim John!
Manze! Kanairo!
Slim John Muchiri msee wa ground
Father of the people anawacheki round
Huyo ni leader tunamjua sana
Baba kwa familia na kwa vijana
Umoja One tunachagua yeye
Mtu wa watu haachi mtaa free
From tao to Eastlands jina inagong
Slim John ni yule msee wa strong
Slim John Muchiri tosha tosha
MCA wetu number one bwana
Baba leader husband kila kitu
Umoja One tunampiga kura! Yo!
Slim John Muchiri tosha tosha
Msee wa watu ana nguvu za kwanza
Vile vile tunasema loud
Slim John Muchiri for the crowd!
Huyu ni husband mzuri wa nyumbani
Ana vision proper kwa development yani
Umoja One tunakaa rada
Slim John anatulinda kama baba
Maternity borehole na barabara
Youth programs atatupatia bara
Msee wa familia na community
Slim John ana priority
Slim John Muchiri tosha tosha
MCA wetu number one bwana
Baba leader husband kila kitu
Umoja One tunampiga kura! Ah!
Slim John Muchiri tosha tosha
Msee wa watu ana nguvu za kwanza
Vile vile tunasema loud
Slim John Muchiri for the crowd!
Umoja One ni yake
Slim John Muchiri tuko nyuma yake
Manze! Kanairo! Vile!