Tanzania
yetu,
nchi
ya
amani,
Nyota
ya
Afrika,
fahari
ya
vizazi.
Kutoka
Kilimanjaro
hadi
Bahari
ya
Hindi,
Mioyo
yetu
na
iimbe
Tanzania
ni
tamu
kweli
kweli
Tunaishi
kwa
umoja,
dini
na
makabila
kwetu
sio
deal
Tukishikana
mikono,
hakuna
kinachotutenganisha.
Mashamba
yanazaa,
madini
yanang'aa,
Kila
kona
ya
nchi,
matumaini
yanachanua.
Tanzania
yetu,
bendera
juu!
Amani
yetu,
daima
itadumu.
Tunaimba
kwa
nguvu,
kwa
sauti
moja,
Tanzania
yetu,
ni
fahari
ya
Afrika.
Dodoma
ni
moyo,
Dar
ni
mwanga
wa
biashara,
Mwanza
na
Mbeya,
Arusha
na
Zanzibar.
Vijana
tusonge
mbele
kwa
bidii
na
maarifa,
Tujenge
taifa
letu
kwa
upendo
na
uzalendo.
Tanzania
yetu,
bendera
juu!
Amani
yetu,
daima
itadumu.
Tunaimba
kwa
nguvu,
kwa
sauti
moja,
Tanzania
yetu,
ni
fahari
ya
Afrika.
Raise
your
flag
high,
let
the
whole
world
see,
United
forever,
proud
and
free.
Tanzania,
our
home,
our
destiny,
Together
we
shine
for
eternity.
Tanzania
yetu,
bendera
juu!
Amani
yetu,
daima
itadumu.
Tunaimba
kwa
nguvu,
kwa
sauti
moja,
Tanzania
yetu,
ni
fahari
ya
Afrika.
Ee
Tanzania,
tutakulinda
milele,
Kwa
kazi
na
uzalendo,
tutafika
mbali.
Mungu
ibariki
Tanzania,
Nyumbani
kwetu,
daima
na
milele.
Tanzania
yetu,
bendera
juu!
Amani
yetu,
daima
itadumu.
Tunaimba
kwa
nguu,
kwa
sauti
moja,
Tanzania
yetu,
ni
fahari
ya
Afrika.
TANZANIA
YETU
tuilinde
amani
siasa
zetu
zisiwe
za
kuchafua
Amani
Karibuni
Tanzania
wageni
hii
ni
Tanzania
ya
Amani