[female vocals] Gina
EWE
MOLA
Ewe
Mola
siwezi
kufananisha
hata
na
hela
za
Dola,
Naelewa
fika
Una
nguvu
kuliko
solar
hata
bastola.
Kwanini
mtoto
wa
kisichana
apigwe
kisu
Sana
si
Kisiii,
Kilifi ,
kinango
kisu
kikali
kinachinja
mchana,
Msichana
mchanga
mchana
anachinjwa
Bana!!
Ewe
Mola
siwezi
kufananisha
hata
na
hela
za
Dola,
Naelewa
fika
Una
nguvu
kuliko
solar
hata
bastola.
Siwezi
kufyata ,
kunyamaza!
Hawa
si
Wezi?
Wezi
wanaoiba
haki
kuziba
nyota
ya
wasio
na
watetezi
Wezi
hawa
hawawezi
hata
wajee
na
jezi
za
kijeshi
Ewe
Mola
siwezi
kufananisha
hata
na
hela
za
Dola,
Naelewa
fika
Una
nguvu
kuliko
solar
hata
bastola
Mterehemezi
tuteremshie
uwezo
wa
kuyateka
na
kuyakumba
makali,
makali
ya
Hali,
Hali
inayofanya
kuwa
ngumu
kukaaa
mahali
ili
kufanya
shughuli
Afadhali
lile
fahali
liitwalo
chali
Kisha
utapata
MTU
akituweka
Kwa
Moja
ratili
na
chali
lile
Wacha
nilitupe
langu
ozi,
Pasi
bila
mapozi,
Ewe
Mola
siwezi
kufananisha
hata
na
hela
za
Dola,
Naelewa
fika
Una
nguvu
kuliko
solar
hata
bastola.
Nataka
kuliangazia
japo
si
Kwa
kina
swala
la
mavazi,
Mavazi
yetu
Wana
wa
jinsia
hii
ya
kisichana,
Yana
kazii
Mipasuo
imepanda
mno
hadi
Kwa
kiuno,
Ni
vazi,
viazi
ama
andazi?
Andazi
kawaida
liko
wazi
halitaki
jezi!
Kufinikwa!
Ewe
Mola
siwezi
kukufananisha
hata
na
hela
za
Dola,
Naelewa
fika
Una
nguvu
kuliko
solar,
Hata
bastola,
Umethirinya
nywele
mtindo
wa
piece,
Lakini
Rohoni
hauna
peace,
Roho
yako
iko
in
pieces,
Yule
aliyekuwa
akikuambia
mapambo
yako
yako
nice,
akakunice
na
mafuta
na
vipodozi
vya
nice
and
lovely,
sasa
tena
hashiki
simu
amukuacha
ukiwa
kama
mice
and
ugly
Ewe
Mola
siwezi
kufananisha
hata
na
hela
za
Dola,
Naelewa
fika
Una
nguvu
kuliko
solar
hata
bastola.
Usitie
Shaka
ikiwa
umeachwa
umeparara
kama
Simba
marara,
kando
ya
Barabara,
huko
maasai
mara,
Jipe
moyo
ipo
siku
utakuwa
imara,
imara
kama
Simba
bila
kunywa
kinywaji
cha
imara
kama
Simba,
kuvuta
sigara,
wala
kurusha
tiara.
Ewe
Mola
siwezi
kukufananisha
hata
na
hela
za
Dola,
Naelewa
fika
Una
nguvu
kuliko
solar,
hata
bastola,
Yatupe
mbali
magwanda
yanayokuambia "
Nimeisha
Kwa
ground"
Inuka,
simama,
jipe
moyo,
Inuka
ujikukute
Chukua
maji
usukute,
Maovu
tena
yasikukute.
Kutenda
kosa
si
kosa
kosa
ni
kurudia
kosa!
Ewe
Mola
siwezi
kukufananisha
hata
na
hela
za
Dola,
Naelewa
fika
Una
nguvu
kuliko
solar,
hata
bastola,
Ewe
Mola,
Ewe
Rabuka,
Ewe
Maulana,
Ewe
Mterehemezi,