[male vocals] Oh,
furaha
imefika,
sherehe
imeanza!
Etablissement
Sans
Frontière,
leo
tunashangilia!
Papa
Kadogo
Jisté,
mfalme
wa
ndani
ya
nyumba
Maman
Jeanine,
malkia
wetu,
furaha
inatupa
sifa
Etablissement
Sans
Frontière,
jina
kubwa
mtaani
Baraka
za
Mungu
ziko
juu
yenu,
mnang'ara
wazi
Waliozungumza
mengi,
leo
wamebaki
njiani
Zuwa
na
kindoki,
imewarudia
wenyewe
mioyoni
Papa
Kadogo
na
Maman
Jeanine,
tunawaheshimu
Libala
lenu
ni
baraka,
linasonga
mbele
daima
Bana
benu
Gladi,
Miriame,
Emery,
Aline,
Alphee
Ni
mashahidi
wa
upendo,
watoto
wa
dhahabu
Furaha,
amani,
kwenu
imetawala
milele!
Tunatoa
heshima,
kwa
bonfrere
Faustee
Stino
Solo
pia
kwa
mwalimu
wa
kanissa
catholique
ndugu
bienvenue
grodyanho
na
Kwa
wazazi
wetu,
Papa
Floribert
na
Maman
Micheline
mutuletee
nguvu
sana
Grand
frère
Mussa
Mking,
kutoka
Mongwalu
Familia
inazidi
kukua,
umoja
wetu
ndio
nguvu
Petit
frère
Isaack
Wane
love,
upendo
mwingi
sana
Petit
frère
Gloire
Safari,
tuko
pamoja
daima
Papa
Kadogo
na
Maman
Jeanine,
tunawaheshimu
nyumba
lenu
ni
baraka,
linasonga
mbele
daima
Na
watoto
yetu
Gladi,
Miriame,
Emery,
Aline,
Alphee
Ni
mashahidi
wa
upendo,
watoto
wa
dhahabu
Furaha,
amani,
kwenu
imetawala
milele!
Hakuna
enye
litafanyika,
wivu
haina
nafasi
hapa
Tunacheza
kwa
furaha,
maadui
wako
nyuma
Sherehe
inaendelea,
Sebene
inachangamka
Etablissement
Sans
Frontière,
tunasonga
mbele!
Petit
frère
Erick,
Petit
frère
Dourba
pas
de
panique,
tuko
imara
Upendo
wetu
hauvunjiki,
uko
imara
kama
mwamba
Tunashukuru
Mungu
kwa
kila
hatua
tunayopiga
Kadogo
na
Jeanine,
nyota
zenu
zinawaka
sana
Papa
Kadogo
na
Maman
Jeanine,
tunawaheshimu
Nyumba
lenu
ni
baraka,
linasonga
mbele
daima
Watoto
wenu
Gladi,
Miriame,
Emery,
Aline,
Alphee
Ni
mashahidi
wa
upendo,
watoto
wa
dhahabu
Furaha,
amani,
kwenu
imetawala
milele!
Furaha
kwa
familia,
amani
kwetu
sote!
Papa
Kadogo
na
Maman
Jeanine,
tunawapenda
sana!
Etablissement
Sans
Frontière,
daima
mbele!
Furaha
kwa
wote,
mbarikiwe
sana!