Frobits
🎵 A song made on Frobits

Asante Wazazi Wangu

0:000:00
Download
Reply with a song
Lyrics

[male vocals] Yeah,

mmm

Kwa

baba

na

mama,

hii

ni

yenu

Ooh,

mumbere

matété

Justin

anasema

asante

Papa

matété

Pascal,

mmenilea

kwa

upendo

Mlinifunza

njia

bora,

nikae

kwenye

mwendo

Sikuwa

rahisi,

lakini

mlinivumilia

Leo

nimesimama,

ni

kwa

sababu

mlinijali

Pascal,

baba

yangu,

nguzo

ya

heshima

Mama

Louise,

upendo

wako

hauna

kikomo

Mzazi

niwa

maana

sana

njo

mana

mimi

na

wapenda

sana

Papa

Pascal

eeh

papa,

sijui

nikupe

nini

papa!

Mungu

akupe

maisha

marefu

na

baraka

Mama

Louise

eeh

mama,

sijui

nikupe

nini

mama!

Asante

kuni-zaa,

miezi

tisa

tumboni

mwako

Sisi

watoto

wenu

tuna

furaha

sana

Ooh

papa

na

mama,

nawapenda

sana

Kambale

Justin,

mtoto

wenu

niko

hapa

Ninasema

asante

kwa

kila

hatua

niliyopata

Njaa

nilipo

kuwa

na

njaa

mlinipa

chakula,

mama

Kahindo

Louise

alikubali

awe

na

njaa

ila

mimi

ni

shibe

baba

ali

nionesha

upendo

alikubali

akose

mavazi

ila

mimi

nivae

mavazi

Pascal,

baba

yangu,

nguzo

ya

eshima

Mama

Louise,

upendo

wako

hauna

kikomo

Mzazi

niwa

maana

sana

njo

mana

mimi

na

wapenda

sana

Papa

Pascal

eeh

papa,

sijui

nikupe

nini

papa!

Mungu

akupe

maisha

marefu

na

baraka

Mama

Louise

eeh

mama,

sijui

nikupe

nini

mama!

Asante

kuni-zaa,

miezi

tisa

tumboni

mwako

sisi

watoto

wenu

tuna

furaha

sana

Ooh

papa

na

mama,

nawa

penda

sana

Mungu

awainue

zaidi,

awaongezee

miaka

Awalinde

kila

siku,

kwenye

kila

mlango

na

kwenye

vita

ya

maadui

Petit

frère

Franquin

na

Jordan

Nyinyi

tufurahi

kupata

wazazi

wema

Pascal

na

Louise,

majina

yenu

ni

baraka

Kila

nikisali,

nawaombea

heri

na

amani

Mtoto

wenu

niko

hapa,

ninaahidi

kuwa

mwema,

Franquin

na

Jordan

tuna

wapenda

sana

Kutunza

heshima

yenu,

hadi

mwisho

wa

safari

Papa

eeh

papa,

sijui

nikupe

nini

papa!

Mungu

akupe

maisha

marefu

na

baraka

Mama

eeh

mama,

sijui

nikupe

nini

mama!

Mzazi

hapatikani

sokoni,

eeeeeh

penda

wazazi

wako !

aiii

oui

mzazi

hapatikani

sokoni,

eeeeeh

penda

wazazi

wako !

Papa

Pascal

matété

eeeeh

nakupenda

baba!

Maman

Kahindo

Louise

eeeeh

nakupenda

mama!

Asante

wazazi

wangu

Kambale

matété

Justin,

pires

nangai

gracia

na

Titok

manequin

sepela

tango

oza

na

papa

na

mama

nayoo (

Fade

out)

More songs by baraka Listen to songs created by others
FROBITS