[male
vocals] 1.
Liko
lango
moja
wazi,
Ni
lango
la
mbinguni;
Na
wote
waingiao
Watapata
nafasi.
Lango
ndiye
Yesu
Bwana
Wote
waingie
kwake,
Lango!
Lango
La
Mbinguni
ni
wazi. 2.
Yesu
ndiye
lango
hili,
Hata
sasa
ni
wazi,
Kwa
wakubwa
na
wadogo,
Tajiri
na
maskini. 3.
Hili
ni
lango
la
raha,
Ni
lango
la
rehema;
Kila
mtu
apitaye
Hana
majonzi
tena. 4.
Tukipita
lango
hili
Tutatua
mizigo,
Tuliochukua
kwanza,
Tutavikwa
uzima. 5.
Hima
ndugu
tuingie
Lango
halijafungwa,
Likifungwa
mara
moja
Halitafunguliwa.