[male vocals] Mpenzi
wangu,
sikiliza
Sauti
ya
moyo
wa
ho'z
the
dj
Navuta
fegi
kutuliza
alosito
ila
bado
nakuona
wewe,
na
nitafuga
mbwa
wa
meno
makali
ili
kukulinda
wewe,
hollo
wangu
maana
nimekutana
na
wengi
lakini
wewe
umewazidi
vingi,
umeiteka
akili
yangu
pamoja
na
moyo
wangu,
naomba
unipende
na
madhaifu
yangu
mie
ho'z
nakupenda
sana,
Tunazipata
jumbe
zenu
watesi
wetu,
punguzuni
vikao
my
wangu
haoni
na
hasikii
vya
watu,
nimemuziba
sikio
kweli
namupenda
hilo
nasalande
usiende
baki
mpendwa
bila
wewe
mie
chenga,
ona
nimekupa
hadi
moyo
wangu
raha
nasikia,
bebi
hollo
sema
basi
unataka
nini
kwangu
kana
unataka
kulala
nami
basi
lala
kifuani
kwangu ,
Moja
ya
ndoto
zangu
ni
kuishi
na
wewe
milele
upendo
na
hisia
zangu
zipo
upande
wako,
sikwa
mwingine
na
kama
ningekuwa
na
chawa
basi
ningemwabia
aje
akwambie
nakupenda
kiuti
Hechi
Yani
umefanya
moyo
wangu
na
akili
zangu,
muda
wote
zikufikilie
wewe
basi
nao
siwezi
teseka
kwa
sababu
wewe
upo
lavuli
Hechi,
Na
Nikisema
nakupendaga
wewe
aaah
jua
ndo
ukweli,
nikikubali
kukaa
bila
wewe
aaah
ndo
nishafeli,
Hata
nikikosa
naomba
unielewe
basi
naomba
usiniumize
moyo
wengine
sioni
nakuona
weweee
oooeeh
Unajua
jinsi
gani
vile
nakupendaga,
yaani
kitu
hatali
ni
wewe
Kidume
niko
vitani
nashindana
mie
sioni
na
macho
yangu
ni
wewe
Ndo
maana
tunafanana
oooh
tena
sana
Na
ulivyo
mzuri
ooooh
ndo
maana
niko
loyo,
kama
ulikuwa
hujui
oooh
kwako
mi
ni
kolo,
Ndo
kwanza
asubuhi
oooh
kwao
giza
totolo,
Watajua
hawajui
hao
maadui
roho
zao
zinavyouma
Nakupenda
sana,
daima
milele
Twende,
mpenzi
wangu.