A song made by Owiti Arwa Chitu
A song made by Owiti Arwa Chitu
Chituz
MUNGU AMENIINUA
Mungu ameniinua na anazidi kuniinua,
Wewe NI Nani wapanga kuniuwa!?
Vikao vyenu vya mabaya kuamua.
Ruoth Omedo ting'a Malo Malo kabisa!
Kila Jambo nikifanya ni Mola analiongoza,
Mipango yangu yote ni yeye anatimiza,
Rabuka ananipiga jeki hawezi niwacha Kwa giza,
Mishale unayorusha ya kuniamiza,
Maulana hawezi kukubali mipango yako yakuniangamiza,
Mungu amenienua na anazidi kuniinua,
Wewe NI Nani wapanga kuniuwa!?
Vikao vyenu vya mabaya kuamua.
Ruoth Omedo ting'a Malo Malo kabisa!
Mungu wetu Yuko na mipango mizuri na mikubwa nami,
Wewe unaona tu haya Madogo wataka nirambe lami!
Siku za hapa mbele atazidi kuniweke juu mbele yako na nzima jamii,
Ataziabisha Hizo zenu chafu ndimi,
Mungu amenienua na anazidi kuniinua,
Wewe NI Nani wapanga kuniuwa!?
Vikao vyenu vya mabaya kuamua,
Ruoth Omedo ting'a Malo Malo kabisa!
Nikibarikiwa kidogo hata na mavazi Bora,
Mwanitangaza kuwa ni nguo za ukora,
Eti ni mavazi nimepata Kwa kupora,
Maulana wangu hazubai atakuja wacharaza mabakora!!
Mungu amenienua na anazidi kuniinua,
Wewe NI Nani wapanga Ndoto zangu kuuwa!?
Vikao vyenu vya mabaya kuamua.
Ruoth Omedo ting'a Malo Malo kabisa!
Majina mumenibandika eti mie ni Eluminati,
Mwanisingizia eti shughuli zangu NI za maiti,
Mtetezi wangu RABUKA ataniinua Hadi Kwa kile kikubwa kiti,
Mtamaliza ndhumba na ndonga za waganga lakini Mola ananipenda niko fiti!
Mungu amenienua na anazidi kuniinua,
Wewe NI Nani wapanga kuniuwa!?
Vikao vyenu vya mabaya kuamua.
Ruoth Omedo ting'a Malo Malo kabisa!
Sasa mshashindwa na uchafu mlionipaka,
Mnaingilia hadi watoto mkisingizia eti NI vibaka,
Mmevuka mipaka kichapo chaja kikali kutoka Kwa Rabuka,
Kichapo chake kikali vikao vyenu vitasambaratika!
Mungu amenienua na anazidi kuniinua,
Wewe NI Nani wapanga kuniuwa!?
Vikao vyenu vya mabaya kuamua.
Ruoth Omedo ting'a Malo Malo kabisa!
Anazidi kuniinua,
Anazidi kuniweka juu
Anazidi kunishikilia
Anazidi kuniongoza