A song made by Julius omondi oloo
A song made by Julius omondi oloo
Hello baby, hello baby
Nakuta daily, daily
Hello baby unajua nakuta daily
We ndio una fanya moyo
Ina dunda loudly
That's why I call you baby
Unanimalize siku zote
Moyo wangu una beat kama ngoma
Siku zote nakufikiria
Usiku na mchana, we ni dawa
Kila saa nakutamani sana
Moyo wangu ina dunda, dunda
Kila nikiona baby
Moyo wangu ina dunda, dunda
We ndio dawa yangu baby
Moyo wangu ina dunda, dunda (ah!)
Nakupenda daily baby
Moyo wangu ina dunda, dunda
Unanimalize baby
Nakuona asubuhi, moyo ina ruka
Usiku nakuota, roho ina chemka
We ni kama nyota kwenye giza
Unaniangaza njia, mapenzi ya kweli
Sikuwahi kuskia hivi
Moyo wangu ina piga kama drum
Kila siku nakushukuru
Kwa kunipa furaha ya dhati (manze!)
Moyo wangu ina dunda, dunda
Kila nikiona baby
Moyo wangu ina dunda, dunda
We ndio dawa yangu baby
Moyo wangu ina dunda, dunda (yo!)
Nakupenda daily baby
Moyo wangu ina dunda, dunda
Unanimalize baby
Unanimalize siku zote
Unanimalize baby
Moyo wangu ni wako tu
Nakupenda daily (ah!)
Moyo wangu ina dunda, dunda
Kila nikiona baby
Moyo wangu ina dunda, dunda
We ndio dawa yangu baby
Hello baby, nakuta daily
Moyo ina dunda loudly
That's why I call you baby