[male vocals] Ah
ah!
Mrembo,
ni
wewe
tu.
Twende!
Bongo!
Mwaka
mzima
kiguu
na
njia,
mrembo
namfukuzia.
Ndala
zikatoboka,
misele
iliponizidia.
Buti
zikachanika,
bado
binti
hajanielewa.
Nguo
zikipauka,
ndo
mwisho
wa
kumtokea.
Kitaani
sikauki,
mtoto
namng'otea.
Nimeshakua
chizi
kwa
uyu
manzi
nimekolea.
Kumuacha
mi
siwezi,
kumpotezea
siwezi.
Analeta
pozi
sababu
sijamkamua.
Nakupenda
Mrembo,
moyo
wangu
ni
wako.
Nakupenda
Mrembo,
njoo
tuwe
pamoja.
Kidume
nikafos
mbinu
ya
kutaka
ku
doo
nae.
Kwanza
nampigia
simu,
anajibu
piga
baadae.
Eti
nimpatie
muda,
wasaa
ajiandae.
Punde
tu
akimaliza,
atabeep
tujikate.
Faster
nazama
docs,
kwa
fady
watu
kibao.
Wengine
wameshasizi,
wengine
wana
inshu
zao.
Nayonga
napiga
mbili,
nastushwa
na
mtandao.
Kumuacha
mi
siwezi,
kumpotezea
siwezi.
Analeta
pozi
sababu
sijamkamua.
Nakupenda
Mrembo,
moyo
wangu
ni
wako.
Nakupenda
Mrembo,
njoo
tuwe
pamoja.
Siwezi
kukulaza
kwa
mate,
nataka
tukuwe.
Moyo
wangu
unauma,
unataka
uwe
wangu.
Poa
sana
mpenzi,
unanipa
joto
la
Dar.
Umebana
kweli,
una
pozi
la
kishua.
Ila
penzi
langu
kwako,
halitaweza
kuungua.
Niko
tayari
kwa
chochote,
kwa
ajili
yako
mrembo.
Sikupotezi
hata
siku
moja,
wewe
ni
wangu
wa
pekee.
Kumuacha
mi
siwezi,
kumpotezea
siwezi.
Analeta
pozi
sababu
sijamkamua.
Nakupenda
Mrembo,
moyo
wangu
ni
wako.
Nakupenda
Mrembo,
njoo
tuwe
pamoja.
Twende!
Mrembo
nimezama.
Nakupenda
mpenzi,
wewe
ni
wangu.
Tamu
sana,
Bongo!
Ah
ah!