Frobits
🎵 A song made on Frobits

Upendo wa Stella

0:000:00
Download
Reply with a song
Lyrics

[male vocals] Stella,

mfupa

katika

mifupa

yangu

Nyama

katika

nyama

yangu

Stella

Mke

wangu

mpendwa

Unaibeba

familia

yetu

katika

mabega

ya

neema

Umefanya

kazi

ya

malezi,

ukiwa

bado

mwanafunzi

chuoni

Unahakikisha

Johnson,

Joan,

Joline

na

Joviah

hawakosi

furaha

Hata

Glory

na

Advera

umewaonesha

upendo

kama

wanao

Mungu

ametubariki

mimi

na

Stella,

Mwanamke

anaeheshimu

na

kuogopa

jina

lake

Unajua

saizi

yangu

Zaidi

ya

ninavyojua,

Nivishe

kwa

upendo

Kama

kukupenda

ni

uhalifu,

basi

ningekua

criminali

Kwa

kukuoa

wewe,

mke

wangu

mrembo

Hujawahi

kusema

hapana,

tunapohitaji

mlo

tunaopenda

Zaidi

Kupitia

siku

isiyo

na

mapumziko,

na

kujitoa

kusikokoma

Bado

una

muda

wa

kunjali

Anold

Pamoja

na

hawa

Malaika

wanne

Kila

kinachotakiwa

kinapatikana

Inanionesha

upendeleo

Mungu

anaotenda

kupitia

wewe

Mungu

nibariki

mimi

na

Stella

Mwanamke

anaeheshimu

na

kuogopa

jina

lake

Moyo

mnyenyekevu,

Zaidi

ya

kawaida

Asante

Mungu

kwa

kujibu

maombi

yangu

Kama

upendo

ungekua

uhalifu,

basi

ningekua

criminali

Kwa

kukuoa

Desemba 27

elfumbili

na

kumi

nanne

Maombi

yako

yanaibeba

famili,

Omba

kwa

bidi

Zaidi

Mungu

anakusikia

wewe

Asante

Mungu

kwa

kuwa

baraka

katika

Maisha

yangu

More songs by malisapeter28 Listen to songs created by others
FROBITS