Alex
Simba,
(Oh,
goodbye)
Bona
sasa
uliamua
kuenda
mapema?
Bona
ulikua
na
haraka
ya
kuondoka
Kwanini
haungekakaa
na
sisi
Alex
Simba,
our
only
Endelea
kupumzika
mahali
peponi
Alex
Simba,
(Mmm,
yeah)
Tutaonana
tena,
tutaonana
Alex
Simba,
tutaonana
tena
Tulikupenda
sana
brother,
lakini
mbingu
ikakupenda
Jienjoy
uko
binguni,
(Oh,
yeah,
mmm)
Nakumbuka
kicheko
tulikua
tunacheka
pamoja
Nakumbuka
happy
moments
we
had
together
wa
dugu
na
dada
haukua
na
mfano
Kuondoka
kwako
kumeniachia
kidoda
(I
need
you,
brother)
Tutaonana
tena,
tutaonana
badae
Alex
Simba,
tutaonana
tena
Tulikupenda
sana
brother,
lakini
mbingu
ikakupenda
Jienjoy
uko
binguni,
tutaonana
tena
Basi
si
hata
afadhali
ningeenda
Ama
basi
tungeenda
sisi
Bona
uende
(Oh,
mmm,
tutaonana)
Uliacha
pengo
kubwa
ndani
ya
mioyo
uko
mahali
salama
zaidi
Tunashikilia
kumbukumbu
Alex
Simba,
tutaonana
tena
kwenye
(Yeah,
yeah)
Tutaonana
tena,
tutaonana
Alex
Simba,
tutaonana
tena
Tulikupenda
sana
brother,
lakini
mbingu
ikakupenda
Jienjoy
uko
binguni,
tutaonana
tena
Machozi
yamekataa
kukauka
machoni
mwangu
Kila
siku
kilio,
nimeshidwa
kukusahau
Picha
yako
bado
ipo
akilini
kama
tulikua
na
wewe
Nikilala
nasikia
ukiniita
Mmmm
nalia,
mmmmm
nalia..
Nalia
Enda
salama
bro.
Enda
upumzike
salama
Salimiana
mbinguni,
tuko
jiani
pia
sisi
tena.
Mmmmmm
bro....
Tutaonana
tena,
Alex
(Mmm,
pumzika
kwa
amani)
Lazima
tutakuja
kuonana
tena
(Oh,
yeah,
tutaonana
badae)
Tunakupenda
milele,
bro.
(Mmm,
yeah)