Frobits
🎵 A song made on Frobits

Kwanini Mimi

0:000:00
Download
Reply with a song
Lyrics

[male vocals] Jimmy

jimmy

star

Yeeh

yaaaaaah

Naona

moyo

wangu

umeutupa

chini

Yeeeeh

yeh

yaaaah

Kwa

Aya

mapenzi

silazimishii

najua

unalinga

na

wako

uzurii

Wewe

umekua

sio

mpishii

unatoka

boko

Na

Wala

ujarii

Siku

sikiliza

ndugu

Umenifanya

ni

jutee

Dunia

initete

Umenifanya

niwe

roho

mbaya

nikuombee

mabaya

yakukutee

Umefanyaa

mapenzii

Niya

chukiee

Sikulala

sikula

sikunywa

sikuvaa

Nilikua

naongea

najiuliza

mwenyewe

kama

kichaa

Natafuta

kosa

kipinimefanya

nikakutia

nyongo

ukanikachaa

Tuliambiwa

mapenzii

ni

shida

na

Rahaa

Mbona

sisi

tulikua

tumesha

pita

shida

sasa

ni

Raha

Au

mapenz

yangu

yalikua

kama

bigijii

ukayatafuna

yakaisha

radhaaa

Naa

naa

why

umenitenda

Naa

naa

why

umeniumiza

Naa

naa

umenifanya

nichukie

mapenz

Naa

naa

why

umenikimbia

mimi

Naa

naa

why

umeniacha

mimi

Naa

naa

umenifanya

nichukie

mapenz

Ulisema

nisiwe

na

wasiwasi

nituliee

Dunia

nzima

inigeuke

utabaki

namiee

Umetumwa

na

MUNGU

unifute

machozi

nisiliee

Kumbe

ni

shetani

ulietaka

roho

yangu

uniuee

Mpenz

kuvumilianaa

kupendana

ila

kwako

nikutukananaa

Sikuraumu

peke

ako

najua

mariki

ndugu

zako

walikushawishi

sanaa

Ukaona

Sina

mahanaaaa

Nilijishushaa

nikakuskilizaa

nikakupendaa

Hatakama

ilikua

inaniumiza

nilitenda

Hata

tulivyokua

mbali

unalewa

club

na

wanaumewengine

skuacha

kukupenda

Ila

basi

naa

no

no

basi

nendaa

Naa

naa

why

umenitenda

Naa

naa

why

umeniumiza

Naa

naa

umenifanya

nichukie

mapenzi

Naa

naa

why

umenikimbia

mimi

Naa

naa

why

umeniacha

mimi

Naa

naa

umenifanya

nichukie

mapenz

Yeeh

yaaaaah

Naona

moyo

wangu

umeubwaga

chini

Yeeeeh

yeh

yaaaaaah

Jimmy

jimmy

Jimmy

star

Kama

mapenzi

safiri

Basi

niliishiwa

nauli

Umekimbia

ndoa

Bora

uwe

changudoa

Ulichokosa

kwangu

sjui

kama

utapa

uko

Nilikupa

moyo

wangu

ukabaki

na

wako

Nilidata

na

uzuri

kumbe

ndani

yake

kiburi

Niliona

nitafaidi

asali

kumbe

shubiri

Sitaki

nenda

Najuta

kupenda

Wasio

kujua

wataona

gold

Kumbe

nyumba

yakupanga

inatakiwa

Kodi

Umekua

kama

geti

kila

mtu

anagonga

hodi

Jimmy

star

More songs by Suleysh_7 Listen to songs created by others
FROBITS