Bwana
tunakuita,
ewe
Mungu
wa
mbinguni
Tunasimama
mbele
yako,
unajua
mioyo
yetu
Baba
tunajinyenyekesha
leo
mbele
zako
Tunasogea
na
kushuka
miguuni
pako
Tunaweka
kiburi
kando,
tunatubu
makosa
Tunaomba
rehema,
nchi
yetu
ipate
pumziko
Damu
ya
Yesu
ya
utakaso,
inene
mema
kwa
taifa
Ioshe
dhambi
zetu,
tuwe
safi
mbele
yako
Rehema
yako
pekee,
ndiyo
tunayoihitaji
Bila
wewe
Baba,
hatuwezi
kuvuka
ngambo
Damu
ya
Yesu,
itakase
Tanzania
yetu
Kwa
mkono
wako,
tuongoze
tusalimike
Utuhurumie,
ee
Bwana
Tanzania
ni
yako,
inyanyue
juu
Umesema
katika
neno
lako
takatifu
Ikiwa
watu
wako
walioitwa
kwa
jina
lako
Watajinyenyekesha
na
kukuomba
wewe
Wakitafuta
uso
wako
kwa
bidii
yote
Utawasikia
kutoka
mbinguni,
utawasamehe
Na
utaiponya
nchi
yao,
hiyo
ndiyo
ahadi
yako
Rehema
yako
pekee,
ndiyo
tunayoihitaji
Bila
wewe
Baba,
hatuwezi
kuvuka
ngambo
Damu
ya
Yesu,
itakase
Tanzania
yetu
Kwa
mkono
wako,
tuongoze
tusalimike (
Praise
Him!
Utukufu
ni
wako)
Fumbua
macho
yako,
usikie
maombi
yetu
Sikiliza
kilio
cha
watu
wako,
ewe
Mungu
Tunakataa
njia
mbaya,
tunarudi
kwako
Jionyeshe
wewe
ni
Bwana
wa
taifa
hili (
Yes
Lord!
Tunakuita!)
Usiache
nchi
yetu
iangamie
kwa
dhambi
Twahitaji
uwepo
wako
utawale
kote
Kuanzia
pwani
mpaka
milima
ya
ndani
Amani
yako
itushike,
neema
yako
itutoshe
Tunakungoja
wewe,
jibu
kilio
chetu
sasa
Rehema
yako
pekee,
ndiyo
tunayoihitaji
Bila
wewe
Baba,
hatuwezi
kuvuka
ngambo
Damu
ya
Yesu,
itakase
Tanzania
yetu
Kwa
mkono
wako,
tuongoze
tusalimike
Utuhurumie,
ee
Bwana
Tanzania
ni
yako,
inyanyue
juu
Damu
ya
Yesu
inene,
Amina,
Amina (
Thank
You
Jesus!
Glory!)
Utuponye
sasa,
Baba
yetu.