Frobits
🎵 A song made on Frobits

Heshima Kwa Wazazi

0:000:00
Download
Reply with a song
Lyrics

[male vocals] Mmm,

yeah,

Alexi

Kambale

hapa

Kwa

ajili

yenu,

Papa

na

Mama

Kama

leo

niko

salama,

ni

kwa

sababu

yenu

ninyi

Uvumilivu

mliounyesha,

umenijenga

mimi

ndani

Papa

Kadima,

nguzo

yangu

katika

kila

jambo

Ulinifunza

heshima

na

jinsi

ya

kusimama

imara

Mama

Kanyere,

wewe

ni

chemchemi

ya

baraka

Upendo

wako

hauna

mipaka,

ulinilea

kwa

umakini

Mimi

Alexi

kambale

sina

ya

kusema

nasema

asante

eeeeeh

Uyu

ndiye

baba

ngu

eeee,

heshima

kwako

Papa

Kadima

Uyu

ndiye

mama

ngu

eeee,

heshima

kwako

Mama

Kanyere

furaha

Ooooh

maman,

ni

mama,

ni

mupate

wapi

aliye

kama

mama

Mama

eeh

Mama

Kanyere

furaha,

asante

kuni

zaa

Leo

naitwa

kwa

heshima,

kwa

sababu

yako

mama

Mama

eeh

mama,

heshima

kwako

mama (

Trompette

douce)

Machozi

yenu,

jasho

lenu,

yote

yalikuwa

kwa

ajili

yangu

Mlinipa

mwongozo,

mkanionyesha

njia

ya

nuru

Papa,

hekima

zako

zimebaki

ndani

ya

moyo

wangu

Kila

hatua

ninayopiga,

naona

sura

zenu

zikicheka

Kama

nimefika

hapa,

ni

kwa

sababu

mliamini

mimi

Mbarikiwe

sana,

kwa

safari

hii

nzima

ya

maisha

Mimi

Alexi

kambale

sina

ya

kusema

nasema

asante

eeeeeh

Uyu

ndiye

baba

ngu

eeee,

heshima

kwako

Papa

Kadima

Uyu

ndiye

mama

ngu

eeee,

heshima

kwako

Mama

Kanyere

furaha

Ooooh

maman,

ni

mama,

ni

mupate

wapi

aliye

kama

mama

Mama

eeh

Mama

Kanyere

furaha,

asante

kuni

zaa

Leo

naitwa

kwa

heshima,

kwa

sababu

yako

mama

Mama

eeh

mama,

heshima

kwako

mama

Siwezi

kulipa

fadhila,

mliyonipa

tangu

utoto,

nama

ivuka

etchiro

navya

mwana

mulere

mama

waye

Kanyere

wavya

uka

niha

vyalia

namanza

nanyia

muvyo

ila

iwe

wavya

uka

ni

bembelesaya

kutchivu,

lino

naviri

kula

si

ngwithe

veri

kuha

mama

O

Mungu

akuhe

a

maisha

marefu

Alexi

Kambale

anasema

asante,

mungu

awape

maisha

marefu

Mapenzi

yenu

kwangu,

ni

hazina

isiyoisha

Mimi

Alexi

kambale

sina

ya

kusema

nasema

asante

eeeeeh

Uyu

ndiye

baba

ngu

eeee,

heshima

kwako

Papa

Kadima

Uyu

ndiye

mama

ngu

eeee,

heshima

kwako

Mama

Kanyere

furaha

Ooooh

maman,

ni

mama,

ni

mupate

wapi

aliye

kama

mama

Mama

eeh

Mama

Kanyere

furaha,

asante

kuni

zaa

Leo

naitwa

kwa

heshima,

kwa

sababu

yako

mama

Mama

eeh

mama,

heshima

kwako

mama

Wimbo

wa

wazazi

wangu,

oh

John

kasereka

na

boutique

Sanafar

furahia

mzazi

wako,

sharline

furahia

baba

na

mama

yako,

Boss

Dany

Kinanga

merci !

Yeah,

Papa

Kadima

na

Mama

Kanyere

furaha

More songs by baraka Listen to songs created by others
FROBITS