[male vocals] Msaada
sio
lazima
ulazimshe
Kama
ninacho
mi
nakupa
Kama
sina
basi
Msaada
sio
lazima
ulazimishe
Kama
ninacho
mi
nakupa
Kama
sina
basi
Wewe
umekosaje
embu
Jiulize
Arafu
mi
nani
muda
wote
niwe
nacho
Sijui
unanionaje
Nikuulize
Hata
mimi
hua
nakosa
embu
Jitulize
Kwanza
we
ni
ndugu
lawama
Nikipata
unanuna
Nikikosa
unacheka
Kila
mtu
ale
za
kwake
Sitaki
kurudishana
nyuma
Ehhh
ahhh
eeehh
ahhhhh
Ehh
ahhh
eehhh
ahhhhhh
Undugu
wa
kwenye
tenga
Siitaji
we
tupa
kule
We
kwangu
huna
msaada
Unapenda
vya
bule
Kwa
maisha
ya
sasa
Mshike
anayeshika
Mpende
akupendae
Asiyekupenda
achana
nae
Usipotoka
mi
stok