[male vocals] Mmh,
aaaaah
Napiga
simu,
naomba
upokee
Sio
kwa
ubaya,
kuna
jambo
nataka
kuongea
Sikiliza
moyo
wangu
unavyolia
Napiga
simu
naomba
pokea
ila
sio
kwa
ubaya
Kuna
jambo
nataka
kuongea,
inamaana
ulijua
unalolifanya
Ulijua
unalolifanya,
moyo
wangu
ukaupiga
buti
Licha
ya
yote
niliyofanya
ukaniona
si
wa
maana
Mmmh,
nataka
kuuliza
hivi
wewe
ndio
uliofanya
Ama
yupo
aliyekudanganya,
mbona
nilikuthamini
kama
mke
wangu
mimi
Ila
ulichofanya
wewe
sitaki
kuamini
Au
ndo
maneno
ya
wahenga
wanasema
kisicho
riziki
hakiliki
Leo
umekwenda
kasuku
wangu,
kasuku
wangu
Leo
umegeuka
kunguru
na
kuudhuru
moyo
wangu
Moyo
wangu
uliopenda
madhubuti
Leo
wanilidharau
makusudi
My
wangu
umekwenda,
nenda
ila
jua
naumia
Naumia
sana,
naumia
sana
Nilikupa
kila
kitu,
nilikupa
siri
za
nafsi
yangu
Ulikuwa
mwanga
kwenye
njia
zangu,
sasa
giza
linanitawala
Sijui
wapi
nilikosea,
au
ndio
tabia
yako
imejitokeza
Uliapa
penzi
la
kweli,
lakini
leo
umepindua
meza
Natamani
kurudi
nyuma,
nirekebishe
haya
makosa
Lakini
nafahamu,
mapenzi
hayalazimishwi
kwa
kutosha
Au
ndo
maneno
ya
wahenga
wanasema
kisicho
riziki
hakiliki
Leo
umekwenda
kasuku
wangu,
kasuku
wangu
Leo
umegeuka
kunguru
na
kuudhuru
moyo
wangu
Moyo
wangu
uliopenda
madhubuti
Leo
wanilidharau
makusudi
My
wangu
umekwenda,
nenda
ila
jua
naumia
Naumia
sana,
naumia
sana
Kila
kona
ya
nyumba
hii,
nakumbuka
sauti
yako
Kila
picha
ukutani,
inanikumbusha
ahadi
zako
Ilikuwa
ndoto
au
ilikuwa
mchezo
wa
kuigiza
Ulinipenda
kweli
au
ulikuja
kunipoteza
King
Dee
anabaki
pekee,
anatafakari
maisha
Au
ndo
maneno
ya
wahenga
wanasema
kisicho
riziki
hakiliki
Leo
umekwenda
kasuku
wangu,
kasuku
wangu
Leo
umegeuka
kunguru
na
kuudhuru
moyo
wangu
Moyo
wangu
uliopenda
madhubuti
Leo
wanilidharau
makusudi
My
wangu
umekwenda,
nenda
ila
jua
naumia
Naumia
sana,
naumia
sana
Nenda,
nenda
tu
King
Dee,
jua
moyo
wangu
umepona
Sitolia
tena
kwa
ajili
yako
Buriani,
kasuku
wangu (
Mmh,
aaaaah) (
Naumia
sana)