[male vocals] Chuo
cha
Tabora
polytechnic,
miongoni
mwa
vyuo
Bora
hapa
nchini
Tanzania,
vinavyotoa
elimu
Bora
na
yenye
viwango
vya
kimataifa.
Wahitimu
wake
mahili
wanaolitumikia
taifa
letu
na
nchi
jirani
barani
afrika.
Waalimu
Bora
na
wenye
obobevu
watakufundisha
kwa
viwango
vya
kimataifa.
Chorus "
Umoja
wetu,
Imani
yetu,
upendo
wetu
kwa
watanzania,
Tabora
polytechnic
ni
Imani
yetu
kuwahudumia
nyakati
zote" "
Umoja
wetu,
Imani
yetu,
upendo
wetu
kwa
watanzania,
Tabora
polytechnic
ni
Imani
yetu
kuwahudumia
nyakati
zote"
Mafunzo
stadi
kwa
wanachuo
wake
yanayotelewa
na
waalimu
wenye
umahili
Mkubwa.
Ndugu
mtanzania
unakaribishwa
chuoni
kwetu
upate
elimu
kwa
kozi
za
afya
na
kozi
zenye
fani
mbalimbali
zinazotolewa
chuoni
kwetu.
Elimika
Sasa
ili
ukaitumie
vyema
elimu
katika
nchi
ikawe
dira
na
ukombozi
kielimu
na
kiuchumi
kwenye
nchi
yetu
mama
yenye
amani
Tanzania.
Chorus "
Umoja
wetu,
Imani
yetu,
upendo
wetu
kwa
watanzania,
Tabora
polytechnic
ni
Imani
yetu
kuwahudumia
nyakati
zote" "
Umoja
wetu,
Imani
yetu,
upendo
wetu
kwa
watanzania,
Tabora
polytechnic
ni
Imani
yetu
kuwahudumia
nyakati
zote"
Mungu
kibariki
chuo
chetu,
bariki
viongozi
wetu,
bariki
wanachuo
wote
na
utuongoze
sote
ili
tuendelee
kulitumikia
Taifa.
Sote
tunasema
karibuni
chuoni
kwetu
Tabora
polytechnic.