A song made by OGUTU'S🤗
A song made by OGUTU'S🤗
Yeah, kwa my two queens
My babygirl na siz wangu, vile!
Babygirl wangu, wewe ni dawa
Ukiniangalia, manze moyo inapanda juu
Siz wangu from day one, kila siku tunabaki rada
Nyinyi wawili, ni mali yangu, ah!
Mathe alipiga kazi, lakini nyinyi ni zawadi
Ni kaa vile Mungu alipanga tu vile
Babygirl unaniita, naskia jina langu inabidi
Sista yangu hukaa kando, tunashare kila kitu bila style
Manze, kanairo!
My babygirl, my sista, nyinyi ni everything
My babygirl, my sista, kila siku mnashine
My babygirl, my sista, mapenzi bila conditions
My babygirl, my sista, tunabaki kwa missions, yo!
Sista wangu, we've been through the mtaa
Tuko pamoja since tulikuwa watoto wa playground
Babygirl umenichagua, manze I can't let you go far
Nyinyi ni reason naskia my heart inapound, bro!
Siz unaniprotect kama niko war zone
Babygirl unanifanya nijskie I'm the chosen one
Tunakula nyama choma, tunashare ice cream cone
Family yetu, tao ama ocha, tunabaki number one, ah!
My babygirl, my sista, nyinyi ni everything
My babygirl, my sista, kila siku mnashine
My babygirl, my sista, mapenzi bila conditions
My babygirl, my sista, tunabaki kwa missions, manze!
Kwa my queens, kila siku
Babygirl na siz, tunabaki rada, vile!