[male
vocals] (
Woi!
Aiy!
Sikia)
Inaniuma
sana,
mambo
ya
uongo (
Ee-heh)
Sikia
hii
story,
ni
big
man
ting (
Rrr!)
Alikuja
kwangu
dada
akililia
msaada
Dola
ishirini,
eti
anataka
kusoma
gado
Moyo
wangu
mweupe
nikampa
njia
ya
kazi
Kupata
elfu
tatu
kila
siku
bila
ya
majazi
Nikamwambia
mwanangu,
hapa
ndio
utatoka
Sio
kuomba
omba,
ni
jasho
ndio
litafuliwa
Inaniuma
sana,
moyo
wangu
unaumia
Upendo
wangu
kwako,
umekuwa
kama
laana
Umenisingizia
uongo,
eti
nakutaka
kimapenzi
Kaka
yako
kanitukana,
kumbe
ni
jambo
la
uzushi
Inaniuma,
inaniuma (
Ay!)
Nilitaka
kusaidia,
sikua
na
nia
mbaya
Kumbe
wewe
ulipanga,
kuniharibia
na
kufukuza
haya
Ulipiga
simu
kwa
kaka,
ukaweka
sauti
ya
uongo
Eti
nataka
tunda,
hizi
ni
stori
za
kupangwa
bongo
Sijawahi
kukuwaza,
siko
kwenye
hizo
level
Maisha
yangu
ni
hustle,
nakimbiza
zangu
za
leo
Inaniuma
sana,
moyo
wangu
unaumia
Upendo
wangu
kwako,
umekuwa
kama
laana
Umenisingizia
uongo,
eti
nakutaka
kimapenzi
Kaka
yako
kanitukana,
kumbe
ni
jambo
la
uzushi
hâta
dadayako
piya
amenipa
maneno
ya
Kaspa
nimeamuwa
kukubali
n'a
jishusha
kuomba
msamaha
lakini
moyo
unawaza
kwanini
kwa
Nini
unisingiziye ;
nilipo
kuuliza
mwenyewe
uka
nijibu
eti
nisikiye
ginsi
uongo
inalumaka
ninaelewa
kuna
kisasi
unanilipiziya
kwa
mambo
nisiyoyajuwa
WALA
kuyatenda ,
kweli
nikiyakumbuka
matusi
ya
mazarau
ya
Kaka
Yako
kwangu
moyo
unavunja
damu ,
hiyo
hiyo
oooo
eeee
naliya
mimi
kisasi
silipi
namwachiya
mola
ajuwae
ukweli
iiii
Inaniuma,
inaniuma (
Still!)
Siwezi
kukubali,
heshima
yangu
ni
bora
Uongo
unajenga
nyumba,
ila
haidumu
mtaani
Nimekaa
zangu
tulivu,
naendeleza
kazi
Ukweli
utadhihiri,
utaona
aibu
mbele
ya
jamii
Kaka
yako
hajaliza,
kaongea
bila
kusikiza
Ila
mi
niko
juu,
siwezi
kujishusha
na
giza
Kusaidia
binadamu
imekuwa
ni
mtego
Ila
naendelea
mbele,
sina
muda
wa
hili
vicheko (
Wagwan!
Aiy!)
Inaniuma
sana,
moyo
wangu
unaumia
Upendo
wangu
kwako,
umekuwa
kama
laana
Umenisingizia
uongo,
eti
nakutaka
kimapenzi
Kaka
yako
kanitukana,
kumbe
ni
jambo
la
uzushi
Inaniuma,
inaniuma
Inaniuma
sana,
ila
ukweli
utabaki
pale
Usinisingizie,
maisha
yaendaga
hivi
Big
man
ting
I.
J.
K,
still
standing
tall (
Aiy!
Rrr!
Wagwan!)
Nimefunga
hii
ukurasa,
maisha
yanaendelea.
hii
ni
DUNIYA
safari
inaendekeya