Vanessa,
nimekupenda
sana,
Lakini
moyo
wako
si
wangu,
Unanitesa
kimapenzi,
Bado
nakutafuta
kila
usiku.
Najua
hatuwezi
kuwa
pamoja,
Najua
ndoa
yetu
haiwezekani,
Lakini
moyo
haujui
sababu,
Bado
unakuita
wewe. (
Chorus)
Vanessa,
nakumiss,
nakumiss,
Bila
wewe
moyo
wangu
hauna
peace,
Kila
usiku
nakuita, “
Vanessa!”
nakumiss,
Vanessa,
Nakutamani,
nakutamani,
Vanessa,
Hata
kama
wewe
si
wangu,
Moyo
wangu
bado
ni
wako. (
Verse 2)
Nimejaribu
kukusahau,
Lakini
moyo
umekataa,
Kila
wimbo
unanirudisha
kwako,
Kila
usiku
nakutamani
zaidi.
Sijui
kesho
itatuletea
nini,
Lakini
leo
bado
nakupenda,
Hata
kama
sa