[male vocals] Kale
house
Empire,
Limbakale!
Ah
ah,
twende!
Anajifanya
kipofu
haoni
Amekuwa
kiziwi
asikii
Ananipanda
na
kichwani
Kumpenda
sijutii
Kama
yuko
kifungoni
Nimtakupa
uhuru
wake
kimya
kimya
Ila
ajue
kaipoteza
thamani
Akisikia
ajue
sumu
inanila
kimya
kimya
Sababu
kajua
nampenda,
sababu
eti!
Namganda,
sababu
nashindwa
kwenda
Mwingine
kumpenda
Maumivu
ya
kichwa
nipe
dawa
Mpenzi
napagawa,
moyo
visa
kaugawa
Mapenzi
napagawa
Sababu
kajua
nampenda,
sababu
eti!
Namganda,
sababu
nashindwa
kwenda
Mwingine
kumpenda
Maumivu
ya
kichwa
nipe
dawa
Mpenzi
napagawa,
moyo
visa
kaugawa
Mapenzi
napagawa
Siwezi
kukaa
bila
wewe
Unanitesa
kwa
tabasamu
lako
Sijui
kosa
langu
ni
lipi
mpenzi
Ila
unavyonifanyia
ni
maumivu
tu
Napagawa,
nachanganyikiwa
Moyo
wangu
unakuita
kila
siku
Sababu
kajua
nampenda,
sababu
eti!
Namganda,
sababu
nashindwa
kwenda
Mwingine
kumpenda
Maumivu
ya
kichwa
nipe
dawa
Mpenzi
napagawa,
moyo
visa
kaugawa
Mapenzi
napagawa
Siwezi
kuishi
bila
wewe
Mapenzi
haya
ni
moto
Yananichoma
kila
iitwapo
leo
Nipe
dawa
ya
mapenzi
haya
Unajua
thamani
yangu
Ila
unajifanya
huzioni
Nateseka
kwa
ajili
yako
Moyo
wangu
unakufa
kwa
ajili
yako
Nirudi
kwako
ni
kazi
Ila
nakupenda
mpenzi
wangu
Sababu
kajua
nampenda,
sababu
eti!
Namganda,
sababu
nashindwa
kwenda
Mwingine
kumpenda
Maumivu
ya
kichwa
nipe
dawa
Mpenzi
napagawa,
moyo
visa
kaugawa
Mapenzi
napagawa
Maumivu
ya
kichwa
nipe
dawa
Napagawa
na
penzi
lako
Limbakale,
twende!
Ah
ah,
nipe
dawa.