[male vocals] Mimi
Bazile
nakalengera
natowa
muko
wa
karibu
kwa
wateja
Wangu
wote
hapa
nakasunyu
ambako
minaanza
kufanya
byashara
hii
mwezi
wa
kumi
n'a
mbili
tariki
ishirini
n'a
Tano
mwaka
wa
elefu
mbili
ishirini
n'a
kumi
n'a
kenda,
nawaita
wateja
wote
wakaribiye
niko
nahudumiya
Watu
ku
chakula
kinywaji,
mpodo
kwa
wadada
warembo ,
nawaleteya
makuta
ya
kutakatisha
nywele,
tarehe
hiyo
mimi
Bazile
nakalengera
n'a
mpenzi
Wangu
ajuwa
mwa
kavava
tulihangaika
kwa
kutafuta
mali
lakini
tulipo
fanyikiwa
Watu
wenye
nia
mubaya
wakatupokonya
n'a
kutuiba
mali
yote,
lakini
wakasahau
ya
kwamba
tungali
n'a
mikono
n'a
miguu
kwa
kutafuta
mali,
akiingiliya
yesu
mambo
yote
Sawa,
nyuma
watashanga
wakiona
tumesha
pata
zingine
makuta,
mimi
Bazile
nakalengera
mujinji
nakalengera
n'a
mpenzi
Wangu
ajuwa
mwa
kavava
tunawaomba
wateja
wetu
wakaribiye
kwa
kutuuziya
bya
shara
ibyo,
lakini
siwezi
sahau
île
mali
n'a
wenye
waliibeba,
waendeleye
kwa
kufanya
bwizi .