[male
vocals] (
Zanzibar/
coastal
melody
style:
Gentle
Oud
melody
swirling
in
the
humid
breeze) (
Soft
rhythmic
pulse
of
the
Riqq)
Ua
langu;
Silo
lililosifika,
kwa
maruma
na
uturi
Ua
nililolishika,
linalo
sifa
kadiri
Hatamu
limeidaka,
laongoza
manowari
Ua
langu
la
ndotoni,
ua
kidani
moyoni.
Ua
linalo
thamani,
ya
tende
nazo
haruwa
Ua
ni
shibe
njaani,
taabani
ndilo
dawa
Linalo
rihi
puani,
harufu
ilo
muruwa
Ua
langu
la
ndotoni,
silachi
lende
kandoni.
Mengi
nilojionea,
ya
njiani
nikopita
Kuyashika
mejutia,
kwazo
baa
na
matata
Yana
mengi
kusemea,
kitabu
utakipata
Ua
langu
la
ndotoni,
kwalo
sinayo
mashaka.
Ya
fahari
uzunguni,
mie
sikuyawezea
Sinayo ‘
senti’
fukoni,
takesha
kuyapatia
Maua
ya
kimodeni,
yalinifanya
suria
Ua
langu
la
ndotoni,
waridi
liso
madaha.
Ua
nimelishikia,
lisinitoke
puani
Rihi
nikiisikia,
furaha
tele
moyoni
Tena
nimejitwalia,
niwe
nalo
nyumbani
Ua
langu
la
ndotoni,
ua
kidani
moyoni.