Frobits
🎵 A song made on Frobits

Bustani ya Edeni

0:000:00
Download
Reply with a song
Lyrics

[male

vocals] *

BWANA

MUNGU*

Bwana

Mungu

alimweka

Adamu (

uuuuuh)

Katika

bustani

ya

Edeniiiiii

Alimweka

ili

ailime

pamoja

na

kutunza

ile

bustani

Bwana

Mungu

alimweka

Adamu (

uuuuuh)

Katika

bustani

ya

Edeniiiiii

Alimweka

ili

ailime

pamoja

na

kutunza

ile

bustani

Bwana

Mungu

akaona

si

vema

Adamu

kuwa

pekee

yakeee

Nitamfanyia

msaidiziiiii

Msaidizi

wa

kufanana

nayeee

Bwana

Mungu

akaona

si

vema

Adamu

kuwa

pekee

yakeee

Nitamfanyia

msaidiziiiii

Msaidizi

wa

kufanana

nayeee

Akafanyiza

wanyama,

kutoka

kila

upande

Ili

aone

Adamuuuuu,

aone

atawaitajeeee

Majina

yote

ya

wanyama

na

ndege

walipewa

na

Adamuuuuuu

Akafanyiza

wanyama,

kutoka

kila

upande

Ili

aone

Adamuuuuu,

aone

atawaitajeeee

Majina

yote

ya

wanyama

na

ndege

walipewa

na

Adamuuuuuu

Hatimaye

Mungu

alimwuumba

Eva,

kutoka

katika

ubavu

wa

Adamu

Akawa

msaidizi

Na

mwanzo

wa

ndoa

ni

Mungu

mwenyeweeee

Hatimaye

Mungu

alimwuumba

Eva,

kutoka

katika

ubavu

wa

Adamu

Akawa

msaidizi

Na

mwanzo

wa

ndoa

ni

Mungu

mwenyeweeee

Maisha

ya

ndoa

ni

sawa

na

safari

ile

ndefu

Ina

milima

mabonde

na

changamoto.

Wakati

mwingine

yaweza

kuwa

tambarare,

Siku

zote

Mungu

awe

kiongozi

wenu

kwenye

ndoaaaaa

Hatimaye

Mungu

alimwuumba

Eva,

kutoka

katika

ubavu

wa

Adamu

Akawa

msaidizi

Na

mwanzo

wa

ndoa

ni

Mungu

mwenyeweeee

Hatimaye

Mungu

alimwuumba

Eva,

kutoka

katika

ubavu

wa

Adamu

Akawa

msaidizi

Na

mwanzo

wa

ndoa

ni

Mungu mwenyeweeee6

Ndoa

iheshimiwe

na

watu

wote

Na

malazi

yawe

safi

kwani

baraka

ya

Ndoa

ni

kutoka

kwa

Mungu

mwenyeweeeee...

Hatimaye

Mungu

alimwuumba

Eva,

kutoka

katika

ubavu

wa

Adamu

Akawa

msaidizi

Na

mwanzo

wa

ndoa

ni

Mungu

mwenyeweeee

Hatimaye

Mungu

alimwuumba

Eva,

kutoka

katika

ubavu

wa

Adamu

Akawa

msaidizi

Na

mwanzo

wa

ndoa

ni

Mungu

mwenyeweeee

More songs by Mwl. Listen to songs created by others
FROBITS