[female vocals] Heeeeeeelele
yelele
woooh
DoctorJudith
We
sing
for
you
today,
hurreeey!
Mungu
ameifanya
siku
yako
Judith,
kuwa
furaha
Mimi
mama
yako,
nae
baba
yako,
leo
tunakupongeza
wewe
ni
star,
tunatimiza
furaha
yetu
kukuimbia
wimbo
huu.
Miaka
saba
umekomaa,
elinu
kuitafuta
kwa
jua
na
mvua
Umetufanyia
heshima,
mbele
ya
ndugu
na
marafiki
Sifa
na
utukufu
ni
kwa
Mungu,
yee
yee
yeleleeee
hongera
dada
kuhitimu
darasa
la
saba,
Yele
yele
yelelele
mama
eeh,
Hatua
kubwa
umeipiga,
unastahili
pongezi
Mungu
amesimama
na
wewe,
daima
ulimweka
mbele
tu
Wazazi
umetuheshimisha,
sifa
kwako
zinakurudia
Judith.
Nakumbuka
siku
unaanza
la
kwanza,
shule
ya
Mtwara
heritage
ilikuwa
kama
drama
Darasa
la
nne
ukavuka,
na
sasa
imetimia
miaka
saba,
liko
daraja
mbele.
Sisi
wazazi
wako
tunaamini,
lelile
leleeee
utalivuka
salama
Ile
ndoto
yako
ya
siku
zote,
Mungu
akaifanyie
kweli,
Doctor
Judith
ukawe
daktari
bingwa,
inawezekana
tu!
Mungu
baba
atakusimamia,
nawe
utashinda
kama
siku
zote
hongera
dada
kuhitimu
darasa
la
saba,
Yele
yele
yelelele
mama
eeh,
Hatua
kubwa
umeipiga,
unastahili
pongezi
Mungu
amesimama
na
wewe,
daima
ulimweka
mbele
tu
Wazazi
umetuheshimisha,
sifa
kwako
zinakurudia
Judith.
Mwanangu
elimu
ni
ufunguo,
utunze
sana
usije
upoteza
utalia.
Uvumilivu
wako
Judith,
leo
unakufanya
usimame
hapa
ulipo
kishujaa
Ni
hatua
moja
muhimu
maishani
mwako,
hautoisahau
maishani
Wazazi
wako
tuko
nyuma
yako,
kila
siku
twakuombea
ufanikiwe.
Vita
ni
vikali,
shika
silaha
pambana
olalalalaaaa
hongera
dada
kuhitimu
darasa
la
saba,
Yele
yele
yelelele
mama
eeh,
Hatua
kubwa
umeipiga,
unastahili
pongezi
Mungu
amesimama
na
wewe,
daima
ulimweka
mbele
tu
Wazazi
umetuheshimisha,
sifa
kwako
zinakurudia
Judith.
yowo
yowooo!