[male vocals] Yelele
yelele
yeleleoooi
Precious
girl
Today
is
your
day,
celebrate!
Mungu
ameifanya
siku
yako
Precious,
Mimi
baba
yako
Pezo,
na
Anna
mama
yako,
leo
tunakupongeza
sisi
wazazi
wako,
tunasikia
furaha
kuona
kipenzi
chetu
umefika
hapa
ulipo.
Kumaliza
miaka
saba
ni
kipengele,
sio
mchezo
mdogo
Umetufanyia
heshima,
mbele
ya
ndugu
na
marafiki
eeeh
yelele
mama
eee
Yele
yele
yelelele
mama
eeh,
hongera
dada
kuhitimu
darasa
la
saba
Hatua
kubwa
umeipiga,
unastahili
pongezi
Mungu
amesimama
na
wewe,
daima
ulimweka
mbele
tu
Wazazi
umetuheshimisha,
sifa
kwako
zinakurudia
Precious.
wakati
unaanza
darasa
la
kwanza,
shule
ya
Mtwara
heritage
ni
kama
tamthilia
Mara
ikawa
miaka
minne,
na
sasa
imetimia
miaka
saba,
ama
hakika
ni
Mungu
tu.
Umepitia
milima
na
mabonde,
jua
na
mvua,
vyote
umevumilia
Na
sasa
unasimama
kwa
ushujaa,
kuukabili
mtihani
mbele
yako,
hata
sasa
utashinda
tu!
Mungu
baba
atakuwa
pamoja
nawe
kama
siku
zote
Yele
yele
yelelele
mama
eeh,
hongera
dada
kuhitimu
darasa
la
saba
Hatua
kubwa
umeipiga,
unastahili
pongezi
Mungu
amesimama
na
wewe,
daima
ulimweka
mbele
tu
Wazazi
umetuheshimisha,
sifa
kwako
zinakurudia
Precious.
Mwanangu
leo
kula
mema
ya
nchi,
ni
matunda
ya
uvumilivu
wa
nuda
mrefu.
Uvumilivu
wako
Precious,
leo
unakufanya
unakata
keki
kwa
furaha
Ni
hatua
moja
muhimu
maishani
mwako,
keep
it
in
your
memory
Wazazi
wako
tuko
nyuma
yako,
kila
siku
na
wakati
wote
kukuinua.
Uko
vitani,
aluta
kontinyuaaaaa,
Yele
yele
yelelele
mama
eeh,
hongera
dada
kuhitimu
darasa
la
saba
Hatua
kubwa
umeipiga,
unastahili
pongezi
Mungu
amesimama
na
wewe,
daima
ulimweka
mbele
tu
Wazazi
umetuheshimisha,
sifa
kwako
zinakurudia
Precious.