Haleluyaaaa,
nisikilize
mpendwa
wangu
nikuambie
maneno
haya
Maisha
ni
safari
ndefu
mno!
Nimeona
mambo
mengi
sana,
na
dunia
ina
siri
nyingi
sana.
Mimi
Mchungaji
Mwandandila
Kwa
miaka
hii
michache
aliyo
nipa
Mungu,
nimejifunza
mengi
Nilitafuta
kumuona
Mungu,
nikatafuta
uso
wake
anafananaje.
Nikadhani
labda
huyu
Mungu
atashuka
mawinguni
nimuone,
kwa
utukufu
wake
Lakini
sikuona,
nikabaki
na
maswali
moyoni
Nikajiuliza
huyu
Mungu
yuko
wapi
katika
sayari
hii
itwayo
dunia.
Nikabaini
kuwa
Mungu
yupo
pmoja
na
mimi
siku
zoote
Anatembea
na
mimi
kila
siku
barabarani
Kumbe
hayuko
mbali
kama
nilivyofikiri
hapo
kabli,
yupo
ndani
yangu
yupo
kupitia
mke
wangu,
yupo
kupitia
watoto
wangu,
yupo
kupitia
Majirani
zangu.
Nikajifunza
kuwa
jamii
inayonizunguka
ni
vielelezo
vya
uwepo
wa
Mungu,
hapo
ndipo
utamuona
Mungu
wako...
Haya
nimejifunza
kupitia
Mathayo
ishirini
na
tano,
akanifumbua
macho
Kupitia
mistari
wa
thelathini
na
nane
mpaka
arobaini
na
sita
mistari
hii
ni
mwanga,
imeondoa
kiza
na
hofu
pale
asemapo
Nilipokuwa
na
njaa
mkanipa
chakula,
Nilivyompa
maji
kiumbe,
ndivyo
nilipokuwa
na
kiu,
mkanipatia
maji.
Haya
sikuyajua
hapo
mwanzo
kuwa
nikifanya
ninamfanyia
Mungu.
Sikujua,
sikufahamu,
nilikuwa
kipofu
wa
roho
Lakini
sasa
nimeona,
upendo
ndio
njia
na
mwongozo
Kumbe
Mungu
yupo
kupitia
jirani
yangu
Anatembea
na
wewe
kila
siku
barabarani
Usimtafute
mbali,
yupo
ndani
ya
mwenzako
Itendee
mema
jamii
inayokuzunguka,
hapo
ndipo
utamuona
Mungu
wako
Oooooh!
Mungu
yupo
kupitia
jirani
Usisubiri
maajabu
ya
mbali,
ah
ah!
Mtendee
mwenzako
wema,
hapo
utafika
mbinguni
Upendo
ni
kioo,
unapoangalia
mwenzako
Unajiona
wewe
na
unamuona
Muumba
wako
Hakika
ninakuambia?!
Huu
ndio
ukweli
mtupu
nikuambiao
leo
mimi
Mwandandila
Kila
unayekutana
naye,
ana
sura
ya
Muumba
Kama
unataka
baraka,
usimnyime
mwenzako
fursa
Fungua
mkono
wako,
fungua
moyo
wako
kwa
wote
Ukarimu
ndio
ibada,
ndio
jibu
la
maisha
yote
Sikia
mtu
wa
Mungu!
Maisha
ni
kupendana,
maisha
ni
kusaidiana
Kumbe
Mungu
yupo
kupitia
jirani
yako
Anatembea
na
wewe
kila
siku
barabarani
Usimtafute
mbali,
yupo
ndani
ya
mwenzako
Itendee
mema
jamii,
hapo
ndipo
utamuona
Mungu
wako
Maisha
ni
upendo!
Mungu
yupo
kwa
jirani
Ndiyo,
Mungu
yupo
kwa
jirani
yako
Muone
katika
matendo,
muone
katika
wema
Mpende,
mjali,
muheshimu
kila
binadamu
umuonaye
kwa
kuwa
ndiye
mfano
wa
Mungu,
maisha
ni
upendo
Ah
ah,
Mungu
yupo,
Mungu
yupo!
Nimemuona
kupitia
kwako
wewe!