[male vocals] Mungu
aliwaumba
na
kuwaleta
duniani
wazazi
wetu
Mr
and
Mrs
Kapinga....
twamshukuru
kwa
Yote...
Sasa
imepita
miaka
kadhaa
mlitwaliwa
kwake
juu
Mbinguni...
twamshukuru
kwa
yote
Daima
twawaombea...
daima
twawakumbuka
tukiamini
tutaonana
Iwapo
nikipata
nafasi
zaidi...
nitawaombea
zaidi...
nitakumbuka
kusema
na
kutenda
yote
mema
mliyotuanyia
Hakika
mlikuwa
mwanga
katika
maisha
yetu...
malezi
yenu
na
miongozo
yetu
twaikumbuka
daima...
Upendo
wenu
usio
na
kipimo
tuna
umiss....
Mlale
peponi
wazazi
wetu
wapendwa....
sisi
bado
tupo
Imara
katika
Imani...
Twawaombea
nasi
mtuombee
pia...
We
miss
you
dearly