A song made by Mwl. Imani Nyingi
A song made by Mwl. Imani Nyingi
Piga Kelele za shangwe nchi yote
Imba utukufu wa Jina lake
Mataifa yote walisifu jina la Mungu
Kwani amestahili heshima na tukuzo
Piga Kelele za shangwe nchi yote
Imba utukufu wa Jina lake
Mataifa yote walisifu jina la Mungu
Kwani amestahili heshima na tukuzo
Piga Kelele za shangwe nchi yote
Imba utukufu wa Jina lake
Mataifa yote walisifu jina la Mungu
Kwani amestahili heshima na tukuzo
Huyu Mungu Baba yetu wa Mbinguni
Ameumba vyote kwa namna ya ajabu
Viumbe vyote vinapata riziki zao
Ona hata kinyonga anakula wadudu warukao
Mwendo wa kinyonga ni wa kunyatanyata
Ni ajabu Mungu wetu ni wa ajabu
Atakupa riziki yako kwa namna apendavyo
Sifa za Mungu zivume ndani yako (oooooh)
Piga Kelele za shangwe nchi yote
Imba utukufu wa Jina lake
Mataifa yote walisifu jina la Mungu
Kwani amestahili heshima na tukuzo
Piga Kelele za shangwe nchi yote
Imba utukufu wa Jina lake
Mataifa yote walisifu jina la Mungu
Kwani amestahili heshima na tukuzo
Aligeuza bahari kuwa nchi kavu
Wanaisrael wakavuka wakaenda
Atatuvusha na vikwazo mbele yetu
Mungu ni mkuu kuliko shida zetu
Moto mkubwa mkali haukuwaweza vijana wale
Vijana makini, Shedrack, Meshack na Albedinego
Waijua habari ya Daniel na tundu la simba
Jambo gani gumu kwako Mungu hasiloweza
Ukuu wa Mungu kwetu wala hauna kipimo chake
Kamtoa Yesu kwetu kuwa fidia ya wengi
Kakubali mateso hata mauti ya msalaba
Piga kelele lisifu jina lake (eeeeh)
Piga Kelele za shangwe nchi yote
Imba utukufu wa Jina lake
Mataifa yote walisifu jina la Mungu
Kwani amestahili heshima na tukuzo
Piga Kelele za shangwe nchi yote
Imba utukufu wa Jina lake
Mataifa yote walisifu jina la Mungu
Kwani amestahili heshima na tukuzo
Sasa njoni njoni njoni
Njoni yatazameni matendo ya Mungu
Matendo yake Natisha kama nini
Ameahidi baraka kwa wampendao
Wazishikao sheria za Mungu
Ndoa yako haina amani
Njoni yatazameni matendo ya Mungu
Mweleze Yesu anaweza
Matendo yake Natisha kama nini
Mweleze vikwazo vyoko
Ameahidi baraka kwa wampendao
Wazishikao sheria za Mungu
Magonjwa yanakunyanyasa
Njoni yatazameni matendo ya Mungu
Mweleze Yesu mponyaji
Matendo yake Natisha kama nini
Wagonjwa wapata afya
Ameahidi baraka kwa wampendao
Wazishikao sheria za Mungu