Frobits
🎵 A song made on Frobits

Juhudi za Sodac (Remix)

0:000:00
Download
Make your own song
Continues securely on the web
Lyrics

SODAC,

SODAC,

SODAC!

Coopérative

ya

Akiba

na

Mikopo,

Solidarité

kwa

Maendeleo

ya

Congo.

Tangu

mwaka 2013,

tuko

pamoja

nanyi,

Na

tangu

mwaka 2014,

Tumepewa

kibali

na

Banque

Centrale

du

Congo.

Kazi

yetu

ni

moja:

Kukusanya

akiba

ya

wanachama,

Kuilinda,

na

kutoa

mikopo

kwa

wanachama. 🎶

SODAC,

SODAC,

mshirika

wako

wa

kifedha,

Weka

akiba

kwa

kujiamini,

Tengeneza

kesho

yako

na

SODAC!

SODAC,

SODAC,

pamoja

tunaendelea! 🎶

SODAC

iko

Butembo,

Beni,

Kasindi

na

Nobili,

Tuko

karibu

na

wewe,

Tuko

tayari

kukuhudumia.

Beni,

Boulevard

Nyamwisi,

karibu

na

Bureau

KML.

Butembo,

Rond-point

VGH,

kwenye

bâtiment

Palos.

Kasindi,

Marché

Central,

karibu

na

sehemu

ya

kuuza

ndizi

za

kupika.

Na

hapa

Nobili,

tunapatikana

mbele

ya

Hôtel

Rwenzori,

Karibu

na

bireau

ya

parking

ya

Cater. 🎵

Fungua

compte

yako

leo,

uwe

mwanachama

wa

SODAC!

Kwa

dola

kumi

tu,

unaweza

kuanza.

Weka

akiba

yako,

Linda

fedha

yako,

Na

jiandae

kwa

maisha

bora

ya

kesho! 🎵

Kwa

SODAC,

Hakuna

frais

ya

kutunza

compte,

Na

tunakupa

huduma

zinazokusaidia

kusimamia

fedha

zako

vizuri.

Na

kama

huna

nafasi

ya

kuja

SODAC,

Mawakala

wetu

wa

terrain

wanakufuata!

Wanakuja

karibu

na

wewe,

Wanasaidia

kukusanya

akiba

yako

Na

kuiweka

kwenye

compte

yako. 🎶

Unahitaji

mkopo?

SODAC

iko

pamoja

nawe!

Kuna

mkopo

wa

kawaida,

Mkopo

wa

masomo,

Mkopo

wa

moto,

Mkopo

wa

mpangaji,

Na

aina

nyingine

za

mikopo

kulingana

na

mahitaji

yako.

Wakazi

wote

wa

Chefferie

ya

Watalinga

na

maeneo

ya

jirani,

Karibuni

SODAC!

Iwe

wewe

ni

mtu

binafsi,

Mfanyabiashara,

shule,

hospitali,

ONG,

association

au

institution,

SODAC

iko

tayari

kufanya

kazi

pamoja

nawe.

Tunasaidia

institutions

na

biashara

Kusimamia

vizuri

fedha

zao,

Kusaidia

katika

mahitaji

yao

ya

kifedha,

Na

kutoa

mikopo

kwa

ajili

ya

miradi

yao. 🎵

Ukitaka

kuimarisha

maisha

yako

ya

kifedha,

Njoo

SODAC!

Weka

akiba,

pata

mkopo,

endeleza

maisha

yako! 🎵

Tunawasalimu

na

kuwashukuru

washirika

wetu

wote:

FEC

ya

Watalinga,

Chefferie

ya

Watalinga,

Esco

Kivu

SARL,

Congo

Cao,

Familia

ya

Carrière

Douanier,

epace

FB,

SSV,

clé

de

santé

chez

Patric

SIMISI

Pamoja

na

hospitali

zetu

washirika:

Clinique

Fanuel,

Elisheba,

Bethelehem,

Clinique

Kizito,

clinique

Ajuwa

Mungu,

clinique

Mungu

iko

Na

hospitali

nyingine

zote

zinazotuamini.

Tunawasalimu

pia

washirika

wetu

katika

elimu:

Institit

Mambale,

Institit

Luseke,

Institit

Kihome,

Institit

Buisega,

Institit

Kamango,

Institit

Lukuka

ya

Kamango,

Institit

Bugando,

École

Primaire

Kaleverio,

complexe

scolaire

ZOE

Na

shule

zote

zinazofanya

kazi

pamoja

nasi.

Na

zaidi

ya

yote,

Tunawashukuru

wanachama

wetu

wote,

mmoja

baada

ya

mwingine,

Kwa

imani

na

ushirikiano

wenu. 🎶

SODAC!

SODAC!

Akiba

yako,

tunailinda!

Miradi

yako,

tunaiunga

mkono!

Maendeleo

yetu,

tunayajenga

pamoja! 🎶

SODAC!

SODAC!

Akiba

yako,

tunailinda!

Miradi

yako,

tunaiunga

mkono!

Maendeleo

yetu,

tunayajenga

pamoja! 🎵

COOPEC

SODAC!

PAMOJA

KUELEKEA

DUNIA

ISIYO

NA

UMASKINI! 🎵

More songs by Patrick Listen to songs created by others
FROBITS