[male
vocals] (
Derochy
tena)
Oh,
mto
wa
mapenzi
unanitiririsha
Yami
nawe,
nimezama
mimi,
hata
siamini
Kwa
penzi
lako
darl,
nimezama
mi
Aga
nyumbani
uje
kwangu,
nimekumisi
Ulale
kifuani
mwangu,
ninavokupenda
Kwa
wengine
sionii,
usisikilizie
maneno
Weka
pamba
masikioni,
twende
Nakupenda
miaka
kenda,
umeniweza
Mbali
siwezi
kwenda
Nakupenda
miaka
kenda,
umeniweza
Mbali
siwezi
kwenda
Kabinti
nakupenda,
kabinti
nakupenda
Kabinti
nakupenda,
ah
ah!
Nakuimbia
unisikie,
popote
ulipo
Usinikimbie,
nakuimbia
unisikie
Popote
ulipo
usinikimbie
Twende
nyumbani
kwetu,
wakakuone
Baba
na
mama,
twende
nyumbani
kwenu
Wakanione
mimi,
mchumba
wako
mimi
Nakupenda
miaka
kenda,
umeniweza
Mbali
siwezi
kwenda
Nakupenda
miaka
kenda,
umeniweza
Mbali
siwezi
kwenda
Kabinti
nakupenda,
kabinti
nakupenda
Kabinti
nakupenda,
poa
sana!
Siwezi
kuishi
bila
wewe,
ni
wewe
Uliyeniteka
moyo,
ni
wewe
Bongo
nzima
inajua,
ni
wewe
Mpenzi
wangu,
nakutaka
wewe
Kila
uchao
nakuwaza,
moyo
wangu
Unakuita,
uwe
wangu
milele
Tutajenga
nyumba
yetu,
tutalea
Wana
wetu,
kwa
amani
na
upendo
Mambo
vipi,
mpenzi
nakuja
kwako
Nakupenda
miaka
kenda,
umeniweza
Mbali
siwezi
kwenda
Nakupenda
miaka
kenda,
umeniweza
Mbali
siwezi
kwenda
Kabinti
nakupenda,
kabinti
nakupenda
Kabinti
nakupenda,
tamu!
Nakupenda
miaka
kenda,
binti
yangu
Siwezi
kwenda
mbali
nawe
Twende,
twende
nyumbani
Mapenzi
yanakolea,
ah
ah!