(Mungu
wangu,
tunaumia)
(Dada
yetu,
umeanza
safari)
Familia
Tikiko
inakushukuru
Mungu
Kwa
zawadi
ya
dada
yetu
Mamere,
uliyotupatia
Alikuwa
nuru
katika
nyumba
Sasa
machozi
yanatiririka,
hatuna
pa
kusema
zaidi,
umemchukua
kwenye
kiti
chako
cha
enzi
Mungu,
uweke
roho
yake
mahali
peponi
Mamere,
dada
yetu
mwema
Ulikuwa
mufurahifu
na
watu
na
kinyongo
na
mtu
yeyote
Ulikua
mupole,
ulikua
na
upendo
Sasa
umetuacha,
tunaumia
sana
Safari
yako
ni
ya
milele,
dada.
Kaka
yako
Nsenga
Katemwe
Ule
ukaribu
wenu,
umesalia
Aruni
Katemwe,
mwalimu
wetu,
naye
Dada
Feza,
Kalonda,
Tembo,
Akili
Kwa
kweli
dunia
haina
huruma,
inatunyang'anya
vyema
Baba
Katemwe
na
Nsenga
Tikiko,
wanaomboleza
kwa
uchungu
Mamere,
dada
yetu
mufurahifu
na
watu
na
kinyongo
na
mtu
yeyote
Ulikua
mupole,
ulikua
na
upendo
Sasa
umetuacha,
tunaumia
sana
Safari
yako
ni
ya
milele,
dada.
Mama
Singa
Mwange
Jeannette
analia
kila
saa
kumi
na
sita"
hai,
"Dada
yenu
ametutoka,
moyo
wangu
umepasuka."
(Safari
njema,
Mamere)
(Lala
kwa
amani...)