[female vocals] Happy
birthday
to
you
my
daughter
Grace...
Mungu
kakuleta
kama
Neema
kwetu.
Ukue
vyema.
Masomo
yako
yawe
kipaumbele...
mtumainie
Mungu
kwa
Moyo
wako
wote
wala
usizitegee
akili
zako
mwenyewe.
Mimi
shangazi
yako
nakupenda
sana
mwanangu...
Wewe
ni
bora
kwangu...
Uendelee
kuwa
mwema
kwangu
daima
na
kwa
wote
Mshike
sana
Elimu
na
usikubali
aende
mbali
nawe...
ubarikiwe
Daima...
Happy
birthday
to
you...
Love
you