[male vocals] Yesu,
wewe
ni
namba
moja
Hakuna
mwingine
kama
wewe
Tunatangaza
ushindi
Waganga
na
madawa
yao
wamefika
mwisho
Wanaokoka,
wanakuja
msalabani
leo
Wachawi
na
matunguli
yao
wanapiga
saluti
Yesu
anatawala,
giza
lote
linaondoka
Zamani
walitisha,
walijiona
kuwa
na
nguvu
Lakini
nuru
ya
Yesu
imewaangazia
sasa
Hawana
pa
kukimbilia,
wamekubali
kushindwa
Yesu
yu
mkuu,
Yesu
yu
hai
milele.
Yesu
namba
moja,
namba
moja
Yesu
Wote
tuseme
moja,
Yesu
namba
moja
Mapepo
yanakimbia,
kwa
kasi
ya
ajabu
Yesu
anawasaga,
Yesu
anawakoboa
Wachawi
na
waganga
wote
wanasurrender
Yesu
anawapepeta
kama
mchele
leo
Yesu
namba
moja,
namba
moja
Yesu.
Dhambi
inatesa,
inazeesha
na
kuchokesha
Mwili
unaumia,
roho
inakosa
amani
Dhambi
inaua,
inatenga
na
Mungu
wetu
Lakini
Yesu
yu
hapa,
anatoa
uzima
Ondoka
katika
vifungo,
vunjilia
mbali
minyororo
Mwamini
Yesu,
yeye
anaweza
yote
Analea,
anaponya,
anatawala
kila
mahali
Hakuna
kama
yeye,
yeye
ndiye
ngome
yetu.
Yesu
namba
moja,
namba
moja
Yesu
Yesu
namba
moja,
wote
tuseme
moja (
kanyelele
gosple
music
band)