A song made by josephlaizer689
A song made by josephlaizer689
Zaka Ya Fungu la kumi Haiokoi
Yesu Ndie Mwokozi Na Ametuokoa Milele
Mungu Hapokei Ruushwa
Zaka Ya Fungu la kumi Haiokoi
Yesu Ndie Mwokozi Na Ametuokoa Milele
Mungu Hapokei Ruushwa
Kwani Hamjui
Zaka Ni Utapeli
Iliyochukua sura Ya Baraka Kwa Jina La kumtumikia Mungu Kwa Fedha zako Kumbe Wanakula Wao Kinyume Na Agizo la Torati
Zaka Ya Fungu la kumi Haiokoi
Yesu Ndie Mwokozi Na Ametuokoa Milele
Mungu Hapokei Ruushwa
Zaka Ya Fungu la kumi Haiokoi
Yesu Ndie Mwokozi Na Ametuokoa Milele
Mungu Hapokei Ruushwa
Neno Linasema wazi Mungu Hatumikiwi Kwa Mikono Ya Wanadamu kana Kwamba Anahitaji Kitu Chochote
Kwa Maana Yeye Ndie Anayewapa Watu Pumzi Na Uhai Na Vitu Vyote Pia
Soma Matendo Kumi Na Saba Mstari Wa Ishirini Na Tano
Zaka Ya Fungu la kumi Haiokoi
Yesu Ndie Mwokozi Na Ametuokoa Milele
Mungu Hapokei Ruushwa
Zaka Ya Fungu la kumi Haiokoi
Yesu Ndie Mwokozi Na Ametuokoa Milele
Mungu Hapokei Ruushwa
Fungu La Kumi Makanisani Ni Utapeli Unaowafanya Waamini wajihisi Wenye Hatia Wakati Waefeso Sura Ya Kwanza Mstari Nne Unaeleza Wazi Kwamba Mwamini Hana Hatia Mbele Za Mungu
Zaka Ya Fungu la kumi Haiokoi
Yesu Ndie Mwokozi Na Ametuokoa Milele
Mungu Hapokei Ruushwa
Zaka Ya Fungu la kumi Haiokoi
Yesu Ndie Mwokozi Na Ametuokoa Milele
Mungu Hapokei Ruushwa
Kama Mnatoa Zaka Shikeni Na Sabato Ya Siku Na Sheria zote Maana Ashikae Sheria zote Lakini Akajikwaa Katika Neno Moja Amekosa Juu Ya Yote Yakobo Mbili Mstari Wa Kumi Na Wagalatia tatu Mstari Wa Kumi
Zaka Ya Fungu la kumi Haiokoi
Yesu Ndie Mwokozi Na Ametuokoa Milele
Mungu Hapokei Ruushwa
Zaka Ya Fungu la kumi Haiokoi
Yesu Ndie Mwokozi Na Ametuokoa Milele
Mungu Hapokei Ruushwa
Kwanza Zaka Sio Fedha Kama Mnavyotapeliwa Maandiko Matakatifu Yanaeleza Wazi Mungu Mtakatifu Aliagiza Itolewe Zaka Ya Wanyama Na Nafaka soma Kumbukumbu la Torati Kumi Na Nne Mstari Wa Ishirini Na Mbili Hadi Ishirini Na Tatu
Zaka Ya Fungu la kumi Haiokoi
Yesu Ndie Mwokozi Na Ametuokoa Milele
Mungu Hapokei Ruushwa
Zaka Ya Fungu la kumi Haiokoi
Yesu Ndie Mwokozi Na Ametuokoa Milele
Mungu Hapokei Ruushwa
Malaki tatu Imekuwa kichaka Cha kujificha Nayo Inasomwa Kinyumea Cha Muktadha wake Ikiwa Unataka Kuelewa Malaki tatu Basi Anza Na Malaki Moja Usome Sura zote Utaelewa Ujumbe Ulikuwa Ni Kwa Israeli Na Viongozi wao Na Sio Kwa Kanisa Mwili Wa Kristo
Zaka Ya Fungu la kumi Haiokoi
Yesu Ndie Mwokozi Na Ametuokoa Milele
Mungu Hapokei Ruushwa
Zaka Ya Fungu la kumi Haiokoi
Yesu Ndie Mwokozi Na Ametuokoa Milele
Mungu Hapokei Ruushwa.
Mungu Hapokeeei Ruushwaa
The Grace Walk