[male vocals] Chituz
na
Afrobeat.
NOEL
CLERK;
GHAFLA
KATUPONYOKA! (
Mmmmmmmmmmh)
Wanaskauti
tunafarji
Hili
Kwa
hakika
ni
pigo
kubwa
tena
Sana,
Noel
Clerk
katuponyoka
Bwana!
Wanaskauti
tumebaki
midomo
achama
tena
imeachana!
Wengi
wetu
bado
hatujakubali,
bado
twakana.
Noel
kwaheri,
Uendako
twakutakia
Njema
heri.
Noel
Clerk,
Hivi
umeenda
jongomeo?
Kwa
maswala
ya
ukufunzi
wa
skauti
ulikuwa
tegemeo,
Wanaskauti
kama
Shujaa
Victor
Radido,
Victor
Oloo ,
Rose
Oloo
na
Kisilu
Elly,
Umewawacha
na
kipigo
cha
kweli,
Mwanao
mpendwa
Emmanuel
Elly,
Bado
haamini
kama
ni
kweli.
Noel
huu
huzuni
ni
mkali.
Mioyo
ya
wengi
imevunjika,
Machozi
bila
kikomo
yatiririka,
Dadako
mpendwa
Khalavi
Pam
anaweweseka,
Kakazo
Justus
na
John-Paul
wanatetemeka,
Bila
kumsahau
Deklerk
machozi
yanambubujika!
Noel
kwaheri,
Uendako
twakutakia
Njema
heri.
Noel
Clerk,
Hivi
umeenda
jongomeo?
Kwa
maswala
ya
ukufunzi
wa
skauti
ulikuwa
tegemeo,
Wanaskauti
kama
Shujaa
Victor
Radido,
Victor
Oloo,
Madam
Rose
Oloo,
na
Kisilu
Elly,
Umewawacha
na
kipigo
cha
kweli,
Mwanao
mpendwa
Emmanuel
Elly,
Bado
haamini
kama
ni
kweli.
Noel
huu
huzuni
ni
mkali.
Noel
Clerk
kweli
umetupatia
mkono
wa
buriani,
Si
hapa
tu
hadi
huko
Kwa
kina
AlFarook
baharini,
Si
hapa
jijini
Kisumu
hadi
Sigalagala
kijijini,
Mioyo
imechoka
haiwezi
kusoma
hata
matini,
Kwa
kuwa
machozi
yamejaa
machoni.
Noel
kwaheri,
Uendako
twakutakia
Njema
heri.
Noel
Clerk,
Hivi
umeenda
jongomeo?
Kwa
maswala
ya
ukufunzi
wa
skauti
ulikuwa
tegemeo,
Wanaskauti
kama
Shujaa
Victor
Radido,
Victor
Oloo,
Rose
Oloo
na
Kisilu
Elly,
Umewawacha
na
kipigo
cha
kweli,
Mwanao
mpendwa
Emmanuel
Elly,
Bado
haamini
kama
ni
kweli.
Noel
huu
huzuni
ni
mkali.
Pasta
wako
Mchungaji
Pius,
mwelekezi,
Ameshindwa
kuwa
ni
vipi
atazilia
machozi,
Machozi
na
majonzi
Kwa
waumini
waliokuenzi,
Wamebaki
wengi
na
maombolezi.
Noel
kwaheri,
Uendako
twakutakia
Njema
heri.
Noel
Clerk,
Hivi
umeenda
jongomeo?
Kwa
maswala
ya
ukufunzi
wa
skauti
ulikuwa
tegemeo,
Wanaskauti
kama
Shujaa
Victor
Radido,
Victor
Oloo,
Rose
Oloo
na
Kisilu
Elly,
Umewawacha
na
kipigo
cha
kweli,
Mwanao
mpendwa
Emmanuel
Elly,
Bado
haamini
kama
ni
kweli.
Noel
huu
huzuni
ni
mkali.
Rafiki
wako
Shujaa
Victor
Radidoo,
Kamishna
Victor
Oloo,
Madam
Rose
Oloo,
Kweli
umewakaba
koo!
Hawajui
waanze
vipi
wamalizie
wapi!
Hiki
ni
kichapo!
Noel
kwaheri,
Uendako
twakutakia
Njema
heri.
Noel
Clerk,
Hivi
umeenda
jongomeo?
Kwa
maswala
ya
ukufunzi
wa
skauti
ulikuwa
tegemeo,
Wanaskauti
kama
Shujaa
Victor
Radido,
Victor
Oloo,
Rose
Oloo
na
Kisilu
Elly,
Umewawacha
na
kipigo
cha
kweli,
Mwanao
mpendwa
Emmanuel
Elly,
Bado
haamini
kama
ni
kweli.
Noel
huu
huzuni
ni
mkali.
Rafiki
wako
Shujaa
Victor
Radidoo,
Kamishna
Victor
Oloo,
Madam
Rose
Oloo,
Kweli
umewakaba
koo!
Hawajui
waanze
vipi
wamalizie
wapi!
Hiki
ni
kichapo!
Noel
kwaheri,
Uendako
twakutakia
Njema
heri.
Noel
Clerk,
Hivi
umeenda
jongomeo?
Kwa
maswala
ya
ukufunzi
wa
skauti
ulikuwa
tegemeo,
Wanaskauti
kama
Shujaa
Victor
Radido,
Victor
Oloo,
Rose
Oloo
na
Kisilu
Elly,
Umewawacha
na
kipigo
cha
kweli,
Mwanao
mpendwa
Emmanuel
Elly,
Bado
haamini
kama
ni
kweli.
Noel
huu
huzuni
ni
mkali.
Noel
Clerk
rafiki
zako
wa
M.
M
Shah
Daima
wanakukumbuka,
Shule
yako
ya
kidato
Kisumu
Girls,
Kweli
wameshtuka,
Na
Shuleni
unakopiga
gange,
Migosi
walimu
na
wanafunzi
wanahangaika.
Noel
kwaheri,
Uendako
twakutakia
Njema
heri.
Noel
Clerk,
Hivi
umeenda
jongomeo?
Kwa
maswala
ya
ukufunzi
wa
skauti
ulikuwa
tegemeo,
Shujaa
Victor
Radido,
Victor
Oloo,
Rose
Oloo
na
Kisilu
Elly,
Umewawacha
na
kipigo
cha
kweli,
Mwanao
mpendwa
Emmanuel
Elly,
Bado
haamini
kama
ni
kweli.
Noel
huu
huzuni
ni
mkali.
Noel
Clerk
rafiki
zako
wa
M.
M
Shah
Daima
wanakukumbuka,
Shule
yako
ya
kidato
Kisumu
Girls,
Kweli
wameshtuka,
Na
Shuleni
unakopiga
gange,
Migosi
walimu
na
wanafunzi
wanahangaika.
Noel
kwaheri,
Uendako
twakutakia
Njema
heri.
Noel
Clerk,
Hivi
umeenda
jongomeo?
Kwa
maswala
ya
ukufunzi
wa
skauti
ulikuwa
tegemeo,
Shujaa
Victor
Radido,
Victor
Oloo,
Rose
Oloo
na
Kisilu
Elly,
Umewawacha
na
kipigo
cha
kweli,
Mwanao
mpendwa
Emmanuel
Elly,
Bado
haamini
kama
ni
kweli.
Noel
huu
huzuni
ni
mkali.
Wapwa
zako
Noel
Clerk
umewastua,
Ndio
mwanzo
mema
yako
wanayajua,
Si
Zaneta
na
Zyana
Si
Landiwe
na
Thandiwe,
Si
Ethan,
Damian,
wala
Rhyan.
Noel
kwaheri,
Uendako
twakutakia
Njema
heri.
Noel
Clerk,
Hivi
umeenda
jongomeo?
Kwa
maswala
ya
ukufunzi
wa
skauti
ulikuwa
tegemeo,